Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Hatuna mda wa kuamka tuacheni tilalale kunyaland has much to lose in all scenarios know we are steps ahead n we can squeeze ur balls whenever u think you are tough than us. Spoiler alert.... Hakuna nchi EAC got the balls FYI we are the only African nation in 2 regional blocks with strong grip and its well understood ever since independence and b4 tunamisimamo yetu kama Watanzania na siku tukiamua kuwachapa tutawachapa ila bado hamjamshika simba alie lala sharubu mnacheza na mkia tu trust me. I don't brag am not a politician but SADC ndo inaweza kututingisha but NEVER EAC
WATANZANIA TUAMKE TULITETEE TAIFA LETU
Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi

Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi. Tayari Kenya wameshalipa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliokataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.

Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.

Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Watanzania hii ni Vita Amkeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive? Kwani Corona chooses Nationality?

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.

Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.

Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Watanzania hii ni Vita Amkeni
Ni matokeo ya umbeya wetu wa kila kukicha tunatangaza ongezeko la maambukizi ya Korona nchini Kenya huku yetu tunaficha.
 
Jibu tu kwa uelewa wako mkuu...wew binafsi unazani vipimo vyetu pale sijui muhimbili vinafanya kazi kweli?
Muhimbili tena?!!!

Nimekwambia dereva kapima corona na kapata majibu, sasa wewe bado unauliza kama vipimo vinafanya kazi.
 
Mkuu kama nilisikia bongojiwe hatuna vipimo for now....wapo kwenye uboreshaji baada ya mapapai na mbuzi kutest positive?
 
C&P

Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.

Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602

Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970
Nigrastratatract Haya mnayoyaona sasa ni matokeo ya Elimu yetu kuzalisha wajinga wenye vyeti vya degree na vyama vya siasa kutengeneza wapumbavu wenye degree.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Someone who has been self isolating in Nairobi cannot visit his/her relatives in the country side. Why should a Tanzanian who's in a country taking zero precautions, with no data transparency be allowed in my country? Why?

If you test positive, please stay in your country. That's being selfish.
 
laiti kama ungegombana na jirani mmoja tungekutetea lkn kule boda ya Tunduma nako shida Kila pahala we umefungiwa mangi ole mushi kuutetea upumbavu inahitaji ule kitu ya arusha na marukhani wapande kwel kwel
 
Mnavyowaita wazungu walioumbwa na Mungu kuwa ni mabeberu basi na wao wana kila sababu ya kututia sisi Manyani
 
Back
Top Bottom