Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

Vichwa panzi hawatakuelewa!
Bado tupo kwenye domination ya mzungu!

Ni wao ndio waliokata mipaka ya nchi huku Afrika!.. ila waafrika wamelisahau Hilo na kuwa waenda hovyo!.

Kuna mahali niliandika kuwa Mimi bado naiamini serikali yangu kwasababu nnazozijua Mimi!

Wengi hawaelewi kuwa Kuna vita za maneno tu na zinatosha kushusha hadhi ya nchi pamoja na uchumi!!

Upinzani baadhi wenyewe kila kitu kitakachofanywa na serikali huwa wanaona serikali inawaonea watu!!.

Kuna watu waliitwa Nyumbu[emoji28]
Mi nahisi watu inatakiwa wasome sana vitabu ili haya mambo wayaone ktk namna ya tofauti!..
Mkuu hivi unakumbuka kuna kipindi chadema ilianza kumsaidia Kenyata kwenye kampeni ili amshinde Laila kisa Laila alikuwa na urafiki na Magu?

Sasa imagine watu kama hawa si wanaweza kuuza nchi kabisa. Thanks God usalama wa taifa bado wapo imara hawawezi kuwapa kenge nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ni Kenya tu ningeona kweli ni propaganda ila ni kila mpaka wa nchi yetu na nyingine Tanzania ina shida.

Uchawi wa matatizo haya ameukalia John Pombe Magufuli kwakuwa ni mbishi mbishi tuuu asiyeelewa wala asiyekubaliana na ukweli! Siwezi kusimama kumtetea mtu wa aina hiyo ambaye hata ndani ya nchi yake tu amekuwa kiongozi anayezalisha chuki!
Ndio maana mtaemdelea kuitwa wapimzani hadi mnakufa na hilo chama lenu linalojifia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Someone who has been self isolating in Nairobi cannot visit his/her relatives in the country side. Why should a Tanzanian who's in a country taking zero precautions, with no data transparency be allowed in my country? Why?

If you test positive, please stay in your country. That's being selfish.
Wewe endelea kujifungia mpaka corona iishe sawa ee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki baada ya kukolea nyumbani sasa zimehamia kwa jirani.
Diplomasia katika uongozi ni kiungo muhimu sana ukiikosa diplomasi umekosa faida ya maisha yako kwa zaidi ya asilimia 75.
Ukipanda kimbunga ni lazima utavuna dhoruba.
Hayo ni maneno ya wahenga wetu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakini na corona yenu,bakini na mahindi yenu,bakini na machungwa yetu..infact bakini na kila kitu chenu sisi uhai wa watu wetu ni bora kuliko hayo makitu yenu-alisikika mkenya mmoja pale mpakani namanga.

Tunaki na corona wakati tayari inawalamaba huko kwao, au hyo waliokopea sio corona?
 
Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.

Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602

Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970
Unapoteza tu muda kuweka conspiracy theories hapa JF. Kama vipimo wanatuonea, basi tuonyeshe sababu na proofs. Mfano issue ya mapapai na fenesi tayari hapo tumewaweza. Tumepata sababu ya kutotumia vyombo vya mabeberu.

Mwisho wa siku hii ni game. Kama vile timu 2 kali zinavyocheza mechi. Atakayecheza vizuri zaidi ndio winner. Wewe umeshawahi kuona timu imeshindwa ikalaumu marefa eti hawakuwa fair halafu wakapewa ushindi? Never. Kama kenya wanatuonea, basi tutafute game kubwa tuwachezee wabakie midomo wazi tu. Lakini ulichoandika hapo na hizo conspiracy theories zako havija msingi hata kidogo.
 
Wakenya ni watu ambao uchukua hatua kwanza halafu ufikiria baadae kama hatua walizochukua kwa kukurupuka ni sahihi baada ya kupata madhara.

Ni watu wanaofanya maamuzi kupitia emotions badala kutumia busara kama ilivyo kwa wanyarwanda na Uganda ambao ufikiria what if the Tanzania government reciprocates bila ya wao kujipanga kwanza.

Hila hii vita ya holiday na sisi ni kujifurahisha tu hakuna nchi yenye mpango wa kuruhusu utalii wa kimataifa anytime soon.
 
Uganda mwenyewe kaanza kulia na Kenya eti wakenya wanampelekea Corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pia anataka awablock kuingia nchin kwake mungu awasaidie tu jaman wakenya walicho kitafuta wanaenda kukipata
Na Thadei Ole Mushi.

Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.

Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa kila Dereva ana Corona that's means kuwa Watalii watakuwa wanaogopa Sana kuja nchini. Wanajua tungefaidika na Utalii kipindi hiki ambacho wao wamejifungia.

Mission ya pili ilikuwa ni kutaka kupata fedha za IMF na kweli wamezipata tayari lakini Kitendo Cha sisi kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida kimeonekana kina manufaa zaidi.

Tayari Kenya wameshakopa USD 739 Milioni kwa ajili ya Corona. Hatua hii Tanzania waliikataa wao wameshachukua fedha hili ni deni kwa Taifa na Ni fedha nyingi sana.

Kuna Mwandishi mmoja wa Kenya anaitwa Gordon Opiyo ameandika kuhusu hatua hii ya Tanzania kufunga mipaka ameandika kuwa:-

Tanzania is hitting back. As I have been warning, we should be very careful about this Corona thing.

In my honest opinion, our Government is overreacting.We are over dramatizing Corona. I honestly doubt the figures "50 Tanzanians sent back" how comes Kenyans coming from Tanzania are turning out to be negative, and 90% of Tanzanian drivers are turning out to be positive??????????? Kwani Corona chooses Nationality?????

I think the US and WHO are using us to stigmitize Tanzanians after Magufuli refused to play ball and roll over like a puppy.

Honestly, if things were that bad, even the Truck Drivers arriving from Tanzania would be telling us stories about seeing bodies rotting in the streets...

I honestly think that we can't mess with our biggest trading partners like this, ata kama we are getting some token aid from United States and IMF.

Do you know that Markiti will collapse if we don't get supplies from Tanzania?
Do you know that Onion prices will triple if we do not get supplies from Tanzania?
Do you know that 70%of the Oranges you eat come from Tanzania????

We will face severe shortage, because cartels killed the Agricultural Sector in Kenya.

I would honestly ask all our decision makers to stop the Corona games and start thinking about the economy.
Pesa ya IMF tushapata. Tuwache hiyo mchezo Sasa.

CHA KUSHANGAZA.
Kuna baadhi ya watanzania wanaona kuwa Kenya wanatupenda sana. Wanaona sisi kufunga mipaka ni tatizo... Hapana hili ni la kupongezwa Sana.
Logic ndogo tu.

Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.

Kuna Mambo hata mtoto wa kidato cha Pili tu anaweza akaona. Cha kushangaza Graduate aliyeshikiwa akili utasikia Tanzania haiwawezi Kenya.
Ole Mushi
0712702602

Maoni ya hii thread ni ya mwandishi na wakati muafaka kuyatafakari na kuyajadili kama kuna kaukweli kokote ama la....Mbase1970
Screenshot_20200519-101139.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaki na corona wakati tayari inawalamaba huko kwao, au hyo waliokopea sio corona?
Sasa mapovu ya nini mkuu....sisi tz hatuna wao wanayo ndo maana wanapambana kuwalinda watu wao na nyie pia.Mtulie sasa.
 
Kwenye hii siasa ya Corona mipakani, naungana na Serikali. Haiingii akilini kuona Watanzania wenzetu mfano Madereva wakinyanyapaliwa kwa kisingizio cha hiyo Corona. Ni vyema haki ikatendeka! ila siyo uonevu na kuleteana hujuma za kiuchumi.

Haiwezekani kipimo cha Kenya kioneshe dereva Mtanzania ana Corona, akipimwa kwa kipimo cha Tanzania anaonekana ni Negative! "Wakenya wako na roho mbaya sana kuliko Watz" Siyo watu wa kuwaamini hata kidogo.

Ulianza kwa point na ukaharibu kwa propaganda. Tanzania hakuna vipimo vya corona toka tarehe 26/04, hao unaosema wamepimwa Tanzania na kuwa negative wamepimwa lini na kwa kutumia vipimo gani? Vile vile ambavyo tulisema ni vibovu vinaonesha positive tu??

Huoni ukisema wamepimwa huku unasema pia hata huku wako positive??

Zungumzia uchumi tu, tumeambiwa huku kwetu hakuna corona ila tujilinde!! Sijui tujilinde/tujikinge na nini!
 
Back
Top Bottom