Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,356
- 29,316
- Thread starter
-
- #101
Shida ipo kubwa sana kuna mentality moja tunaipandikiza katika nchi hii kwamba kila jambo baya ni la serikali au polisiSheikh wangu haya mambo unapotaka kujadili kwanza uwe na akili zako timamu, bila kutia utimu, uchama wala udini.. kifupi uwe NEUTRAL
Ujue hata hao askari wanapoanza uchunguzi wao tuseme,mtu kafa kwa kupigwa kisu, ama kauwawa bila kuibiwa kitu. Kuna vitu huwa wanavishuku.
Mfano alikorofishana na nani, mawasiliano yake n.k
Kuna shida gani watanzania wanaohisi ni serikali kisa ametoka kuisema serikali.
Kwa mtazamo wako kuwaambia ukweli ndio nimekurupuka? Au mlitaka niwe kama nyie nami niimbe wimbo ule ule "polisi hao"Hapo kwenye bold;
1. Wewe hujakurupuka
2. Wewe hujalaumu?
3. Wewe hujadandia mambo?
Wewe umeimba wimbo wa WATANZANIA HAO. Wengine wameimba wimbo wa polisi hao. Hapo tofauti yenu ni nani analaumiwa, lakini wote mmnalaumuKwa mtazamo wako kuwaambia ukweli ndio nimekurupuka? Au mlitaka niwe kama nyie nami niimbe wimbo ule ule "polisi hao"
kushambuliwa kwa Kitima polisi wamemkamata siku hiyohiyo mtu mmoja, LAKINI ALIMMIMINIA LISU RISASI HADI LEO HAJAJULIKANAShida ipo kubwa sana kuna mentality moja tunaipandikiza katika nchi hii kwamba kila jambo baya ni la serikali au polisi
Kama kweli wananchi wanatoa hisia zao kwanini wote mnatoa lawama kwa serikali na polisi tu?
Sijaona hata mtu mmoja akiwa na.mtazamo tofauti juu ya kadhia hiyo
Busara ni kusubiri uchunguzi kisha ndio muwe na haki ya kujaji kutokana na matokeo ya uchunguzi huo
Mimi sipo upande wowote ule nimesimamia katikati nikisubir taarifa ya polisi,hapo sasa ntakuwa katika nafasi ya kupima taarifa yao
Kwahiyo ulitaka nae achele kukamatwa au?kushambuliwa kwa Kitima polisi wamemkamata siku hiyohiyo mtu mmoja, LAKINI ALIMMIMINIA LISU RISASI HADI LEO HAJAJULIKANA
PombeKiraji ni nini jamani?
Wakati mwingine kujifariji ni raha sanaAnother smartphone in wrong hands
Tangu lini wakarupukaji wakakosa kusapotianaComment za wachangiaji zina onyesha wewe huja kua.
Nikwambie kitu expert wangu?Unaakili ndogo wewe, hulijui Hilo jeshi lilivyo na hila. Kama uswahilini ukizingua mtu anakukodia watu wakudhuru alafu anawalipa elfu 50 tu na wanakuja kukudhuru....itakuwa Hilo jeshi, mbona mambo madogo sana haya kuelewa au wewe Bado kichwa kizito sana ndg yangu😄
Shida historia inawahukumu, matukio mangapi yametokea, wao wanakana!?Shida ipo kubwa sana kuna mentality moja tunaipandikiza katika nchi hii kwamba kila jambo baya ni la serikali au polisi
Kama kweli wananchi wanatoa hisia zao kwanini wote mnatoa lawama kwa serikali na polisi tu?
Sijaona hata mtu mmoja akiwa na.mtazamo tofauti juu ya kadhia hiyo
Busara ni kusubiri uchunguzi kisha ndio muwe na haki ya kujaji kutokana na matokeo ya uchunguzi huo
Mimi sipo upande wowote ule nimesimamia katikati nikisubir taarifa ya polisi,hapo sasa ntakuwa katika nafasi ya kupima taarifa yao
Na hiyo ndio hoja yenu kubwa,je kila anaye kukwambia nitakushughulikia ni lazima ni huyo tu ndiye atakushughuliaHivi wewe na akili timamu unaweza kukaa na kukubaliana na report ya polisi wa Tanzania hii?? Hasa kwenye maswala yenye mlengo wa kisiasa?
Kwanini ashambuliwe siku chache baada ya kuikosoa serikali ya mama Yako kuhusu uonevu kukithiri nchini??
Kama ambayo mama Yako anapenda sifa kwenye Kila jambo zuri linalofanyika nchi hii kwa Nini mabaya tumkwepeshe??
Ndio maana natoa ushauri kwamba,mlaumu pale watakapotoa ripoti,hapo mtakuwa mpo sahihiShida historia inawahukumu, matukio mangapi yametokea, wao wanakana!?
We unaamini kama wamefanya wao, uchunguzi utaleta jibu la maana,
Hebu jaribu kukumbuka matukio yoote utapata jawabu.
Asante sana expert wangu,nakubaliana na wewe moja kwa moja kwamba polisi kwa upande wao wanastahiki lawama kwa hayo unayo yazungumzia,maana habari ni zile zile kila kukicha,na ndio maana wananchi wanafikia tamati ya hayo wanayo semaUmenena vyema
Umenenepa vyema sana,lakn wananchi wanaonekana wamechoka na hiz kauli za uchunguz unaendelea kila sku ,mfano Ben Saa 8 ,alipotea na uchunguz unaendelea,Lissu alitandiea risas mchana Tena makao makuu ya nchi na Bado uchunguz unaendelea ,Azory nae alichukuliwa na watu na Bado uchunguz unaendelea, mzee Kibao naye alichukuliwa kwenye basi akauliwa mchana kwepie na uchunguz unaendelea,tukaona watu wakijarb kuteka kjana mmoja juz juz wakashndwa na jaribio,alaf Wazir nape aliwahi tolewa bastola mchana kweupe mbele ya waandish wa habar na camera zao lakn pakawa kimya,,!! Ni vzur JPT likajitenga na huu uovu mbali na ivyo uenda watu wakafkia mwsho wakaona Bora wajilinde wao
Cc ChaliifranciscoHata wewe umekurupuka kusema vitu vilivyo nje ya uwezo wako ,
Kuandika kwa ufasaha tu huwezi utaweza kuandika hoja za kimantiki kwa kujifanya msemaji wa Mh Raisi mama samia ?
Nimeipenda hii😂😂Kwasasa mpinzani akiachana na mkewe/ mumewe au akaangukiwa hata na kidaka cha mnazi, itasingiziwa serkali na jeshi lake la police.
kwa nini atukane? Kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo? Hana hoja! Ni udhaifu mkubwa kuwa na tabia kama hizo za matusi!Je unasababu ya msingi ya kunitukana?
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli
Tatizo kakutwa na tatizo katika wrong place,alikuwa anakunywa kinywaji,je kuna anayejua baada ya kulewa aligombana na nani?Siku zooote hakuwahi kujeruhiwa baada tu ya kuanza kukosoa mwenendo wa Serikali ghafla kajeruhiwa, mtuhumiwa namba moja ni nani?