Mkuu ukiipata nishtue namikama dakika 10 zijazo nachepuka hapa job kwenda tra ila nina uhakika nitapotezewa muda vya kutoshawasumbufu wanazingua sio tra tu anzia serikali za mitaa mpaka ofisi za uma bado na wana majibu ya kuny....a sana jana nimepiga simu manispaa ya makonda aka kinondoni huyo mwanamke aliyepokea simu natamani atumbuliwe anajibu kama kichaa pambav bahati nzuri nikazama mtandaoni nikasaka namba ya kitengo cha biashara nikapata namba fulani nikaongea na jamaa akanielewesha =vizuri sana na nimemuelewa sasa naenda ofisini na vifaa vinavyohitajika napunguza kuhangaishwa
na yote hii ni kutafuta mipenyo ya kupata rushwa ......... magu bado wafanyakazi weeengi wanafanya kazi kwa mazoea, kiburi na kujisikia leo... ntawarekodi msikie wenyewe figisu zao... naelekea kwanza hapa tra mwenge kushugulikia tin namba laazima nilale mbele nayeyote atakayeniletea ubabaishaji. kwenye mpango mzima wa tin tumeshachoka kuhangaishwa wenyewe wanatangaza ni bure lakini matendo yao yamekaa kitakukuru takukuru
niliipata mkuu tenda kwasiku 1 niliipatia pale tegetaMkuu ukiipata nishtue nami
Sio pale mwenge mkuu, halafu wanahitaji viambatanishi gani...!!??niliipata mkuu tenda kwasiku 1 niliipatia pale tegeta
Kwa hiyo wewe huamini kama MUNGU yupo?Tena ni wavivu hata wa kufikiri. Mtu anakuambia mungu yupo. Bila ya kuhoji na kuuliza sababu, unaanza kutangaza uwepo wake
Sasa Ladyfurahia kwa nini uammke saa9 alfajiri? mbona njia za mkato zipo?hata mm nimemshangaa na nimewashangaa sana mamods kuachia thread hii bila hata kuifuta sasa nchi zingine wakiona hapa watasema kuhusu sisi watanzania huyu nadhani hana tatizo inaelekea yeye mtoa mada ni mvivu anatuchanganya wote wavivu wakati wengine saa 9 alfajiri tupo tunatafuta ugali wa siku hiyo yeye anadhani tunavyochat hapa wengi hawana kazi au hawajishughulishi
Mkuu Zamiluni,malimao na chumvi si vinapatikana?,achana na chai,wewe kunywa uji wa sembe au dona au unga wa muhogo,sababu sukari inatengenezewa vibali kwa watu wachache kuagiza ili kutunisha mifuko ya wakubwa majizi na majambazi.Tunasubiri sukari..... tunywe chai !!!😛😛😛
Post hewa.Kuna wakati mpaka unajuta kuwa mtanzania, fikiria kila sehemu ukienda ni uvivu mwanzo mwisho, vijisababu haviishi kila siku mtu anakuja na sabab wa uvivu wake. Daah si hotelini, ofisi za umma, kwenye daldala, dukani.
*** Wachina wakija kuuza karanga nako tunalia lia tu.
Siamini na sitarajii kuamini. Kuna sababu nyingi sana za msingi zinazofanya nisiamini uwepo wakeKwa hiyo wewe huamini kama MUNGU yupo?
kama dakika 10 zijazo nachepuka hapa job kwenda tra ila nina uhakika nitapotezewa muda vya kutoshawasumbufu wanazingua sio tra tu anzia serikali za mitaa mpaka ofisi za uma bado na wana majibu ya kuny....a sana jana nimepiga simu manispaa ya makonda aka kinondoni huyo mwanamke aliyepokea simu natamani atumbuliwe anajibu kama kichaa pambav bahati nzuri nikazama mtandaoni nikasaka namba ya kitengo cha biashara nikapata namba fulani nikaongea na jamaa akanielewesha =vizuri sana na nimemuelewa sasa naenda ofisini na vifaa vinavyohitajika napunguza kuhangaishwa
na yote hii ni kutafuta mipenyo ya kupata rushwa ......... magu bado wafanyakazi weeengi wanafanya kazi kwa mazoea, kiburi na kujisikia leo... ntawarekodi msikie wenyewe figisu zao... naelekea kwanza hapa tra mwenge kushugulikia tin namba laazima nilale mbele nayeyote atakayeniletea ubabaishaji. kwenye mpango mzima wa tin tumeshachoka kuhangaishwa wenyewe wanatangaza ni bure lakini matendo yao yamekaa kitakukuru takukuru
Sikuiba Muda wa mwajiri wala. Ofisi yetu huwez kuiba mda lazma ulikuwa wa kwangu wa chakulaUnamwibia mwajiri wako muda, afu unakuwa wa kwanza kuwasema wafanyakazi wengine.....haya ndo mleta mada anamaanisha...
Kweli hiyo ni haki yako ya kikatiba,kuamini chochote unachotaka.Siamini na sitarajii kuamini. Kuna sababu nyingi sana za msingi zinazofanya nisiamini uwepo wake