Watanzania SA sio kwema tena

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
bafwetu.jpg


Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....
 
very sad for such discrimination to be shown by a country thought to have advanced in tolerance levels
 
Yo Yo unajua pamoja na kusikitika nimejikuta nacheka huo waraka kuanzia 1-11 aliyekuwa akiuandika, hilo neno "****en" lilivyowekewa msisitizo..
 
Unajua kukemea waraka kama huo ni kuupeleka straight to the police department i believe kidogo kule South Africa polisi wanafanya follow up tofauti na wa huku kwetu
i mean kemea hayo maneno yalokuchekesha
 
Duh, black on black Xenophobia.

Kutafuta mchawi tu.
Nasikia wanawindana sana....yaani ukionekana muafrika na sura zetu za afrika mashariki....lazima wakuanzishie vagi.....

Mchawi wa umaskini wa weusi wa SA ni wageni weusi?
 
mmmmmmmh kazi ipo,jamani nyumbani ni nyumbani rudini hamtakiwi huko ikiwezekana nao watoke kwetu
 
Wanaoharibu SA ni wanaigeria kwa biashara zao haramu na sio wengine waliotajwa, wanatutaja sisi kwasababu wanajua hawawawezi Wanaigeria ni watata watawakimbiza..
 
Ukweli ni kwmba hakuna nchi duniani inayopenda wageni, labda Tz tu kwa sababu ya ulimbukeni wetu. Kwa vyovyote vile utakutana na vikwazo vya namna tofuati, iwe through violence, systematic overtaxation na vikwazo vya kazi kwa kisingizio kwamba wewe ni mgeni, and other social isolation n.k. Cha msingi kwa wahusika ni kupima kama the risk of staying evens-up with the advantage unayoipata kwa kuishi huko ugenini. Kama hakulipi kivile hamna haja ya kutake risk.
 
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
bafwetu.jpg


Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....

Na sisi huku tuwaanzishe hao Makaburu basi ..Tuanzie TBL,NBC,Migodini huko Kahama etc..Jino kwa Jino.
 
Back
Top Bottom