Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,646
- 52,478
- Thread starter
- #41
Akili kubwa zinaongelea maendeleo.
Akili za kawaida zinaongelea matukio.
Akili mbovu zinaongelea watu.
Watu wengi hupendelea kile kilichorahisi zaidi
Kumsema mtu ni rahisi na wakati mwingine ni Tiba kwa wenye roho za kutu