Tukiweka utafiti pembeni, watanzania walio wengi kweli ni wanafiki na wanaishi maisha yasiyo halisi.
Nilishawahi kusema huko nyuma kipindi cha uchaguzi wa rais 2015 kuwa "Watanzania ni moja ya watu wanaaafiki sana duniani" na watachukua ccm tena.Weka ushahidi tuusome, labda hujakielewa ulichokisoma. Usitumezeshe unafik wako.
Ingawa wapo Watanzania wanafik wengi sana lakini sidhani kama tumeshika namba moja duniani.
Weka ushahidi tuusome, labda hujakielewa ulichokisoma. Usitumezeshe unafik wako.
Ingawa wapo Watanzania wanafik wengi sana lakini sidhani kama tumeshika namba moja duniani.
Watu waache kufanya utafiti kwa ajili ya maendeleo ila wafanye wa kutafuta watu wanafiki!? For what!? Are kidding me!? Hivi Unajua hata cost za kufanya utafiti!?Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
Wanafikii wao. .Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
Nilishawahi kusema huko nyuma kipindi cha uchaguzi wa rais 2015 kuwa "Watanzania ni moja ya watu wanaaafiki sana duniani" na watachukua ccm tena.
Umesema ukweli mtupu mkuuTunaongoza kwenye unafiki, uongo, majungu, udokozi, Wizi wa Mali za umma, rushwa mpaka bungeni n.k.
Wanalaani ushoga na wakati huo huo wanawaingilia wanawake wao kwa tigo.Kabisa aisee.
Kuna watu humu humu JF kwa mfano, eti wanawachukia sana mashoga lakini wanataka Hillary Clinton ashinde huku huyo huyo Hillary akiwa muunga mkono wa ndoa za jinsia moja na ana mashoga kibao walio kwenye timu ya kampeni yake.
Sasa kama mtu unawachukia mashoga kiasi cha kuwaona kama wao si binadamu lakini hapo hapo unamuunga mkono muungaji mkono wa ushoga na mashoga, wewe ni nani?
What logical common sense does that make?
Zero, nada, zilch!