Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Labda kama wameomba au kuchukua data kutoka twaweza
 
Weka ushahidi tuusome, labda hujakielewa ulichokisoma. Usitumezeshe unafik wako.

Ingawa wapo Watanzania wanafik wengi sana lakini sidhani kama tumeshika namba moja duniani.
Bi mkubwa nakuona kama upo no mbili maja lizaboni 3 4 .....
 
Bi mkubwa nakuona kama upo no mbili maja lizaboni 3 4 .....

Unamaanisha kwa unafik? Au siyo ?

Kama jibu ni ndiyo, sijuwi wale wa Chadema waliotuaminisha Lowassa ni fisadi utawapa namba ngapi.

La sivyo isije kuwa wewe ni namba 0.
 
Ni kweli kabisa unafiki wa watanzania ni toka viongozi mpaka watoto.Kundi linaloongoza Kwa Unafiki ni Wanasiasa.
 
Sasa mkuu kama ulivyoutabiri unafiki..watanzania tunatakiwa tufanyeje ila tuepuke unafiki.
Awali ya yote zuia mdomo kuropoka usiyoyajua, aidha pili Tusipende kufuata mkumbo, zipo taasis na wataalamu hapa nchini na km hujui au huelewi ni vyema ukauliza hta kwa kupga cmu, bahat nzuri taasisi zetu zote zina namba za cmu
 
Kuna unafiki mwingine unaambiwa apply kazi wakati kazi hyo watu walishapewa kitambo na wanafanya
 
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
ukweli kabisaa,na waoga,unapokuwa muoga uoga huzaa kujipendekeza,kujipendekeza kunazaa unafik
 
Ahaah,wewe ndiye mnafiki,unataka tujadili maneno yako tu yasiyokuwa na ushahidi wowote?
 
Tumeishi na Kufanya kazi na Wazungu, tumeishi na Waafrika, wote wa mataifa mbali mbali.

Watanzania Taifa lenye mikono safi. Watu safi.

Tunatofauti zetu, fikra na mitazamo yetu tofauti, ndio binaadamu alivyo lakini wakati The Mother Land ikiguswa, wote tuko mstari wa mbele kumtetea mama yetu "Tanzania".

Tanzania Daima.
When it comes to defend the honour of our nation, we shall not compromise.
 
Huo ni utafiti wa kudhalilisha watu tu, ni watanzania wachache ambao wataukubali unless research methodology iliyotumika inaridhisha, yaani wameangalia nchi ngapi, Tanzania wamepitia watu wangapi kwa vigezo vipi? Sikubaliani nao maana nikiwakubalia nitakuwa mnafiki
 
Tumeishi na Kufanya kazi na Wazungu, tumeishi na Waafrika, wote wa mataifa mbali mbali.

Watanzania Taifa lenye mikono safi. Watu safi.

Tunatofauti zetu, fikra na mitazamo yetu tofauti, ndio binaadamu alivyo lakini wakati The Mother Land ikiguswa, wote tuko mstari wa mbele kumtetea mama yetu "Tanzania".

Tanzania Daima.
When it comes to defend the honour of our nation, we shall not compromise.
Ukweli lazima usemwe hakuna namna.
 
Back
Top Bottom