ubinaadamukwanza
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 222
- 198
Ukweli gani? Ukweli wa Uingereza kuivamia Iraq na kunasema kuwa Iraq ina silaha kali za kuangamiza? Kumuua baba wa watu "Sadam"?
Huu ndio unafiki wa hali ya juu maana maisha ya mailioni ya wanaadamu wasiokuwa na hatia haswa watoto na mama zao wamepoteza maisha yao.
Nani mnafiki hapa??
Huu ndio unafiki wa hali ya juu maana maisha ya mailioni ya wanaadamu wasiokuwa na hatia haswa watoto na mama zao wamepoteza maisha yao.
Nani mnafiki hapa??