Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Kulikuwa na gap kiasi gani hadi wafikie kufanya utafiti?!
 
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
Ni kweli maana ni juzi tuu tumetakiwa tuchague kati ya (raha) elimu bure chekechea hadi chuo kikuu au (shida) elimu ya kuchangia chekechea hadi secondary tuu na chuo kikuu unalipia .matokea tumechagua (shida) sasa hivi shida inaendelezwa kwa uzalendo mkubwa .tayari tunalalamika shida shida .sasa huu kama sio unafiki ni nini [emoji844]
 
Hivi Twaweza wana branch nyingine zao Uingereza ?
 
Tukiweka utafiti pembeni, watanzania walio wengi kweli ni wanafiki na wanaishi maisha yasiyo halisi.
 
Utafiti uliofanywa na wasomi wa Chuo kikuu cha Nottingham nchini uingereza ulibaini kuwa sisi watanzania ndio vinara wa kuwa wanafiki duniani nini maoni yako.
Kama kweli utafiti umefanywa basi nafikiri hivyo vyuo havina shughuli za kufanya sasa. Kuna wanafiki zaidi ya wazungu katika ulimwengu huu?
 
hata kwenye huu uzi ukisema uhesabu wanafiki huwez pata shida
 
Kama kweli utafiti umefanywa basi nafikiri hivyo vyuo havina shughuli za kufanya sasa. Kuna wanafiki zaidi ya wazungu katika ulimwengu huu?
UPO SAHIHI KABISA,
Mkuu nafikiri wengi hawajui nini maana ya neno UNAFIKI
 
Back
Top Bottom