Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

huo utafiti una ukweli maana hapa bongo kila kitu kikifanywa na viongozi hawachelewi kukiponda na kisipofanyika hawachelewi kulaumu kiukweli tunaongoza kwa unafiki sana hata wanasiasa tulio nao wao ndio vinara wa unafiki sana leo wanaongea hvi kesho wanasema hvi mfano mzuri walisema tunataka raisi dikteta ili nchi inyooke Mungu alivyo mkubwa sana akatupa [HASHTAG]#MAGUFULI[/HASHTAG] sasa wanalalamika wanasema ni dikteta hafai [HASHTAG]#shittanzanians[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wabongoniwanafikiahatawewenimnafikiuliyetoaposthii[/HASHTAG]
 
Mie nadhani wameegemea kwa lile tukio la Lowassa na chadema limevunja rekodi ya dunia.haijawahi kutokea popote na kama ingekua katika nchi kama uingereza chadema wangepata kura zisizozidi 200 nchi nzima
 
Huo ni utafiti wa kudhalilisha watu tu, ni watanzania wachache ambao wataukubali unless research methodology iliyotumika inaridhisha, yaani wameangalia nchi ngapi, Tanzania wamepitia watu wangapi kwa vigezo vipi? Sikubaliani nao maana nikiwakubalia nitakuwa mnafiki
Kwani mwaka huu kuna nini tz jamani walianza wakasema 1/4 baadae wakasema asilimia kubwa ni vichaa sasa inakuwaje hapo!??
 
Na mimi nimekubali ingawa mwanzo niliomba evidance
Ukitaka kujua nenda kwenye comment za msiba wengi wanasema RIP
 
Mzee wa kubadili gia angani ni mnafiki,aliwaambia wafuasi wake ukienda kupiga kura usitumie kalamu ya tume,inahamisha kura yako kwenda kwa ccm,kama si unafiki ni nini?
 
tafiti nyingine ni zakupuuza maana hazina tija kwa mtu mmojammoja ata taifa
 
Mtu akiingiza bidhaa ambazo hazijakidhi viwango zinateketezwa. Baada ya kuanzishwa mahakama ya Mafisadi walioleta nyavu haramu ndo mafisadi. Dola 20 million ni kaburi halifukuliwi
 
Back
Top Bottom