watanzania na wazambia wanafanana kila kitu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
inakuwaje tunashindwa kuungana na watu tunaofanana kila kitu lakini tunaungana na wakenya tusiofanana kabisa???
wazambia wanakubalika zaidi tanzania na sisi watanzania tunakubalika zaidi zambia
watanzania hawakubaliki kabisa kenya na wakenya hawakubaliki kabisa tanzania
shida tupu!
serikali yetu mpya ipitie huu muungano na kuuvunja tuungane na ndugu zetu wazambia!
 
You can choose your friend but you cannot choose your brother. Wakenya ni ndugu zetu, tupende tusipende, tufanane tusifanane.
We have to live together.
 
i dont think if this re;etionship will work out
tunatofautiana sana na hawa jamaa
nakubaliana na topic 100%
 
Yaani ni kheri kuungana na nchi ingine yoyote ile kuliko kenya!
Walituliza kwenye EAC iliyopita bado twawakumbatia including kuwatimua madreva wa Tax enzi zile
 
Wenzetu waliungana kwasababu ya the need to do so na si kupatana.
 
You can choose your friend but you cannot choose your brother. Wakenya ni ndugu zetu, tupende tusipende, tufanane tusifanane.
We have to live together.

Siyo ndugu zetu, and we don't need them. Tanzania itaendelea kuwa ya watanzania, na kuwa Tanzania. Hatuhitaji kuungana na mtu yeyote, hao wanaokuwadia watu kuungana nao wana asili ya huko. Tusilete machafuko yasiyo ya lazima, hivi hii akili finyu ya kuungana inatoka wapi? kwa sababu ya rasilimali za Tanzania. Even though Zambians are cool headed, kuliko hawa mapepe wakenya. Hata hivyo wanayoyafanya Tazara mnayajua? TZ is indivisible, na ieleweke hivyo, na wanamapinduzi bado tupo! Suluhu ya matatizo ya nchi hii itatoka ndani, siyo nje...watu waache ujinga!
 
nakubaliana na wewe mkuu,lakini hii idea ya kutuunganisha na nchi kama kenya inatoka wapi?
 
inakuwaje tunashindwa kuungana na watu tunaofanana kila kitu lakini tunaungana na wakenya tusiofanana kabisa???
wazambia wanakubalika zaidi tanzania na sisi watanzania tunakubalika zaidi zambia
watanzania hawakubaliki kabisa kenya na wakenya hawakubaliki kabisa tanzania
shida tupu!
serikali yetu mpya ipitie huu muungano na kuuvunja tuungane na ndugu zetu wazambia!

Hebu fafanua kidogo - vipi Wazambia ni ndugu kwako zaidi kuliko Wakenya ? Naziona fikra zako wapi zinaelekea .Acha ubaguzi na kupanda mbegu za sumu hapa. Usilete ubantu dhidhi ya jamii zingine hapa. Tanzania siyo nchi ya wabantu pekee. Moja ya mafanikio ya Tanzania ni ukabila kuondolewa lakini kuna watu kama wewe ambao hawana la kuchangia ila kukosoa na kuleta hoja kama hizi.
Umoja au ushirikiano wa Tanzania na nchi nyingine si wa kulazimishwa ila hiyari hija ni majadiliano na mikataba kuhakikisha masilahi ya washiriki wote.

Umoja ni nguvu.
 
mimi sina ubaguzi ni ukweli usiopingika,nimeishi zambia na nimeishi kenya,nikiwa zambia nahisi nipo nyumbani,lakini nikiwa kenya kila siku nafikiria siku ya kuondoka,yaani najihisi mgeni,kwa mtazamo wangu wazambia tunafanana mambo mengi zaidi na wakenya tunatofautiana mambo mengi zaidi,naomba nifafanulie maana ya huu mungano wetu na wakenya
 
Aina ya muungano wa Africa mashariki tunaolazimishiwa hapa hautakuwa na faida ya maana kwa Tanganyika. Tatizo la nchi hii ni kuwa tumezoea kukaririshwa mambo. Huwezi kuunganisha Tanganyika iliyo na ardhi ya bwerere na nchi kama kenya ambayo huwezi kupata hata kipande cha hatua mbili kisichomilikiwa na mtu!! Tulitakiwa kushirikiana kwa usawa na hawa majirani zetu na siyo kuungana.
 
Waghana nao tunafanana nao sana wako kama wabongo katika mambo mengi tu.
 
Mimi sijui mtaniita mbaguzi, ila siwapendi Wakenya na Waganda. Wakenya wanatudharau mno kuliko Waganda ila naona wote wanafanana. Mimi naona bora ya SADC kuliko EAC. I DONT LIKE EAC AND I NEVER LIKE IT.
 
Mimi Natural sipendi Wageni, hasa Wakenya. Niiteni mmbaguzi lakini ukweli ndio huo. Tanzania itajengwa na Watanzania sio Wageni
 
kuna mikenya imepanga nyumba jirani yetu basi hatulali,kazi yao kujipendekeza sana kwa wabongo,halafu wao wajua kila kitu,kila saa wao ni kiingereza chao eti wanadai sisi hatui hicho kiinglish chao
 
Aaaaahh kumbe hao majirani zenu ndio wanofuga Maharamia (illegal aliens):embarassed2:
 
Back
Top Bottom