watanzania na wazambia wanafanana kila kitu

Mkuu, tunaunganishwa na reli ya TAZARA na Bomba La TAZAMA, vilevile kuingia Zambia ni free hivyo bado ni ndugu pia.
inakuwaje tunashindwa kuungana na watu tunaofanana kila kitu lakini tunaungana na wakenya tusiofanana kabisa???
wazambia wanakubalika zaidi tanzania na sisi watanzania tunakubalika zaidi zambia
watanzania hawakubaliki kabisa kenya na wakenya hawakubaliki kabisa tanzania
shida tupu!
serikali yetu mpya ipitie huu muungano na kuuvunja tuungane na ndugu zetu wazambia!
 
Ni kweli kabisa, watanzania tunashabihiana sana na wazambia kwani tunapenda sana ulabu. Kila baada ya nyumba mbili ni bar ama glossary.
 
Jamani tuwalaumu Wakenyaa...ama Waingereza waliowatawala kwa muda mrefu mpaka jina likapatikana ''ukoloni mamboleo''?
 
watanzania ni friends of convenience kwetu sisi wakenya, nothing more. EAC is designed to be more of a business than a social model, hata maadui hufanya biashara pamoja for mutual benefits, biashara ikiisha kila mtu anaenda zake na si lazima wasalimiane. we need each other as neighbours, in as much as y'all deny this, its unavoidable. kupanda mbegu ya chuki hapa si vizuri, hautapata forum yoyote ya Kikenya ikiponda wabongo just because you are slow, uneducated and lazy, i think thats what our main difference is. Great minds discuss issues not people. Nawajua wakenya wengi pale mererani wanachuma proper. ukija Nairobi enda pale Loita hse, kule juu kuna kampuni inaitwa Muthama gemstones, uliza ni akina nani wanaouza Tanzanite kwa sana, ndio utajua hatuji Bongo kuangalia warembo ama kujifunza kiswahili, tumekuja kuchuma hizo hizo minerals zote... mtachekwa nyie waswahili
 
A dog who attends a flea circus most likely will steal the whole show,can we help you idiot!
 
kuna mikenya imepanga nyumba jirani yetu basi hatulali,kazi yao kujipendekeza sana kwa wabongo,halafu wao wajua kila kitu,kila saa wao ni kiingereza chao eti wanadai sisi hatui hicho kiinglish chao
Kuna wakati nilikuwa kwenye basi nasafiri kuja Dar. Tulipofika Chalinze basi lilipata hitilafu abiria tulishuka, wengine walikwenda migahawani na wengine tulikuwa karibu na lile basi tukiangalia matengenezo. Pembeni yangu kuli
kuwa na watu watatu wakiongelea habari zao za biashara huku wakitaja taja miji mashuhuri ya kenya. Baadaye wale wawili wakabadili mada wakaanza kuongea kwa kiingereza.
Wakaanza kumponda mwenzao kwa maneno ya kejeli, dharau na kutuona sisi wa-TZ ni washamba tu hatuna cha maana tukijuaacho na kadhaa wa kadhaa.
Nilijisikia uchungu sana eti tu kwasababu hatujui lugha ya mkoloni!!

Kwa kweli wenzetu wanatudharau kwa sababu hasa ya lugha. Wakati umefka sasa tuamue rasmi lugha ya kiingereza ile lugha ya kwanza ya taifa na kiswahili kitukufu iwe lugha ya pili ili twende nao sawa haya mataifa yanayotuona sisi tuko nyuma.
Mataifa yaliipa kipau mbele lugha ya kiingereza ni Zimbabwe, licha ya kuwa na conflict na uingereza wenye lugha yao. Zambia, Malawi, Namibia, S.Africa, Uganda, Kenya na nyingine nyingi za Africa. Hata Taifa kubwa kama Marekani wameichukua lugha ya mkoloni wao na kuikubali kuwa Lugha yao ya Taifa.
TUEPUKANE NA DHARAU ZA AINA HII, TURUHUSU SASA KIINGEREZA KIFUNDISHWE TANGU CHEKECHEA.
 
watanzania ni friends of convenience kwetu sisi wakenya, nothing more. EAC is designed to be more of a business than a social model, hata maadui hufanya biashara pamoja for mutual benefits, biashara ikiisha kila mtu anaenda zake na si lazima wasalimiane. we need each other as neighbours, in as much as y'all deny this, its unavoidable. kupanda mbegu ya chuki hapa si vizuri, hautapata forum yoyote ya Kikenya ikiponda wabongo just because you are slow, uneducated and lazy, i think thats what our main difference is. Great minds discuss issues not people. Nawajua wakenya wengi pale mererani wanachuma proper. ukija Nairobi enda pale Loita hse, kule juu kuna kampuni inaitwa Muthama gemstones, uliza ni akina nani wanaouza Tanzanite kwa sana, ndio utajua hatuji Bongo kuangalia warembo ama kujifunza kiswahili, tumekuja kuchuma hizo hizo minerals zote... mtachekwa nyie waswahili

nani alikudanganya kujua inglish ndio kuwa msomi?kuna wasomi na viongozi wangapi duniani hawajui inglish kama unayojidai nayo,
listen to me friend,wakenya na watanzania wanatofautiana kwenye background,wakenya mmetawaliwa kwa nguvu na jazba na watanzania tumetawaliwa kwa upendo na upole,just wait utaona tunavyojipanga nchi yetu itakuwaje,kuuza tanzanite ya wizi haiwezi kuonyesha kwamba mna akili,mna take chance tu,the time will tell,kama kweli nyie ni wasomi mbona mnakuja hapa tanzania na njaa?wacha wee mazee!
 
Nimesoma nawakenya vilaza kinoma anaongea English tu kwenye principle za masomo hovyo,2likuwa tunawaweka katka kutambulisha majina ya members kwenye kundi seminar nzima tunasimamia wenyewe,hata kwenye biashara wa kawaida tu,TANZANIANS LETS GO
 
nilisafiri south africa siku za nyuma kidogo,watanzania wenye makampuni na maduka makubwa ni wengi mno,sikuona mkenya ila wapo wachache wenye vikampuni na wanategemea kuhonga ili kupata vikazi
huyu jamaa naona hajawasoma watanzania vizuri,tuna uwezo wa kufikiri mzuri kuliko wao,japo anasema tupo slow!
 
A dog who attends a flea circus most likely will steal the whole show,can we help you idiot!

So am I amongst the flea or the proverbial dog that you are talking about? seriously, you thought you'll talk ill about Kenyans on a public forum and not get a Kenyan respond to your empty rhetoric, what are you dumb or something...
 
Wakuu naomba ufafanuzi zaidi kwani siwafahamu wakenya kiundani!
Ni kipi hasa kinachowatofautisha na sisi?
na vipi kuhusu Waganda, Wanyarwanda na Warundi?
 
Back
Top Bottom