Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,464
- 21,197
Watanzania msiwe wepesi wa kusahau, zile shida,manyanyaso, kauli zisizo faa mlizozipitia kuanzia tangu mwaka 2016 mpaka 2019 mwishoni.
Tena wengine eti wameanza kumkubali kisa misimamo yake dhidi ya Corona aisee hii nchi bwana haiishi vituko.
Msijisahaulishe kwamba hakukuwa na ajira miaka yote hiyo, msijisahaulishe zile nyumba zilizo vyunjwa kimabavu, msijisahaulishe kuhusu mambo ya watu wasio julikana maana yalishamiri sana japo kwa sasa yamepoa kidogo.
Msijisahaulishe kuhusu vijana wenu waliopo vyuoni kukosa mikopo licha ya kukidhi vigezo, msijisahaulishe kuhusu kuminywa kwa demokrasia hapa nchini.
Msijisahaulishe kuhusu zile kauli tata za mara kwa mara ambazo mara nyingi zilikuwa zinaleta maudhi.
Msijisahaulishe gharama za maisha kupanda maradufu na kodi zisizokuwa za msingi.
Yapo mengi sana kwa kweli.
Msiwe wasahaulifu kiasi hicho.