capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
- Thread starter
-
- #81
Me mzigo, nmekubali ..Wewe mwènyewe ni mzigo. Umeishia kulalamika bila kuonyesha way forward kwamba nini kifanyike.
Kiranga Michango yako huwa naiheshimu sana bro....Sasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?
Na mimi nitafuatilia wangapi?
Miezi michache nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.
Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?
Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.
Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.
Lakini alinipa somo kubwa.
Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.
Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.
Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.
Sijakuunga mkono kwa hili kajipange upyaAisee we pia ni changamoto
Kuwa makini bro
We babu jamani Mungu azidi kukuweka tuSasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?
Na mimi nitafuatilia wangapi?
Miezi michache nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.
Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?
Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.
Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.
Lakini alinipa somo kubwa.
Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.
Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.
Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.
Nipo makini bro usiwe na wasi wasiKuwa makini bro
AmenWe babu jamani Mungu azidi kukuweka tu
Shem bana
KhaaaaAmen
Hili jamaa liko viziri upstairs sema ndio hivyo alimwamini Mungu aisee.....We babu jamani Mungu azidi kukuweka tu
Hahah!! Nazisindikiza dua kwa KirangaKhaaaa
Lini ulikuwa kiranga
We jamaa bhanaSasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?
Na mimi nitafuatilia wangapi?
Miezi michache nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.
Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?
Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.
Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.
Lakini alinipa somo kubwa.
Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.
Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.
Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.
Vizuri kama umeelewa, nachotaka kusema ukweli hauvishwi nguo otherwise tunachelewa sana kwa kudhan ukweli usipova nguo ni udharilishaji. Ni mtazamo wako juu ya uwasilishaji.Mkuu mimi kama nimejaribu kukielewa ulichotaka kitufikie lakini uwasilishaji wako kama haujawa mzuri sana maana hapa mtanzania umemuelezea kama mtu fulani hivi hajitambui au hajielewi. Imekosea.......
Hayo ya kutomwamini Mungu tumwache nayo tu kila mtu na msimamo wake na imani yakeHili jamaa liko viziri upstairs sema ndio hivyo alimwamini Mungu aisee.....
Msg yake haijafika sawasawa..Mkuu mimi kama nimejaribu kukielewa ulichotaka kitufikie lakini uwasilishaji wako kama haujawa mzuri sana maana hapa mtanzania umemuelezea kama mtu fulani hivi hajitambui au hajielewi. Imekosea.......