Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,759
- 44,576
Mzee yupi Mwalimu Julius Nyerere unasema mjinga daah basi una shida sehemu sio bure aisee..Mnateteaga ujinga wa huyo mzee!
Nyerere...
Kaacha Tazara..
Mgodi wa kiwira ukiwa vizuri
Viwanda vya nguo..
General tire wahuni wamepeleka mitambo Kenya hapo Yana..
Madini alisema tuyaache hayaozi wakisoma watakuja kuchimba wenyewe sasa hivi yanagawiwa bure hakuna hata faida ya kuwa na madini..
Alitengeneza mazingira ya watu kutokubaguana kwa udini wao au makabila yao wengi walitumia Kiswahili kwa kiwango kikubwa alifauru..
Kwa kipindi hicho kama alifanya haya na kuyasimamia nampa pomgezi sana..