camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,002
- 982
Unaposema kabisa unamaanisha Ukristo!?Hawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Unaposema kabisa unamaanisha Ukristo!?Hawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
No reform, no election.
Huna jipya wewe. HahahahNo reform, no election.
Lako jipya ni lipi? Helen na Mollen?Huna jipya wewe. Hahahah
Ndio nini hizo?Lako jipya ni lipi? Helen na Mollen?
Injini za bajaji🤣Ndio nini hizo?
Ndio nini hizoLako jipya ni lipi? Helen na Mollen?
Ndio wale mademu zako uliniambia?Injini za bajaji🤣
Ni yule mtoa majini.Ndio nini hizo
Ndio wale mademu zako uliniambia?
acha ushenzi we mdinidiniHawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Machawa kama kawaida hawawezi kukosa.Hawa jamaa wametumwa na kanisa tu kuvuruga utulivu
Kunita mdini sawa na Mnyika kumwita kamandaacha ushenzi we mdinidini
Kwan wazaramo ndo waislamu pekee?Mko nyie wazaramo
Mbona hujataka kuhamia zambia ,malawi,uganda na zimbabwe ambako manaswala wenzio wamejazana?Mange naye katumwa na kanisa? Natamani hii nchi igawanywe mpewe yenu na manaswara wapewe yao tuwatenge kwa ukuta kama ule wa Israel vs Palestina, then baada ya miaka 5 tuangalie nani atakuwa anataka kuhamia kwa mwenzake.
Uislam si asili ya mtu,wala sio sehemu anayo toka,wala sio cheo alicho nacho bali uislam ni kufuata miongozi ya Qran nq suna za mtume.Hijab ni kwenu mliosilim. Waislam wenyewe og hawavai hijab. Hapa chini kuna picha ya Mfalme wa Jordan ambaye ana nasaba ya damu na mtume. Mkewe havai hijab
View attachment 3600399
View attachment 3600400
Unamuona Mohamed Bin Salman ambaye ni mwana mfalme wa Saudi Arabia. Umeiona hijab ya mkewe😂😂
Samahani, ni maneno magumu sana haya kuyarudiarudia humu; lakini kwani waTanzania kweli hawakumbuki baadhi ya masheikh walivyowaonya vijana wa kiislam wasishiriki katika swala hilo?Ndiyo hivyo. Na ndiyo maana vyombo vya usalama viamua kumuua Sheikh Sharif Majini
Swali ni wangapi wanaofuata hayo na kujitambulisha wao ni wa imani hiyo.Uislam si asili ya mtu,wala sio sehemu anayo toka,wala sio cheo alicho nacho bali uislam ni kufuata miongozi ya Qran nq suna za mtume.
Wanatafuta tu njia ya kujipatia chochote baada ya kuchoka kuosha viibibi vizee kwenye nursing houses. Na huyo Ted Cruz ni kiazi ambaye anadanganywa kuwa kuna unyanyasaji wa Wakristu Tanzania, kisa yule TAPELI Gwajima kafungiwa kanisa. Pumbavu zao