AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,022
- 5,853
Muulize Matajiri wakubwa wote wa Tanzania ni waupande gani?Ndo unavyodanganywa uko kanisani? Maendeleo makubwa yote yapo mikoa ya Pwani Yan dar es salaam, Zanzibar, Tanga Pwani
Embu tujitenge tuone mtafanya Nini? Au nanyinyi hapo uyole mnajiona wazungu kisa ni wakristo?