Nimekwisha kueleza, sasa kama hutaki kuelewa hilo si shauri langu tena.Na wewe ni nini kinachokuweka kwa Tundu na Heche?
Tundu Lissu na Heche wakifanya anayofanya Samia ya kuua waTanzania ili wabaki madarakani kwa manufaa yao nitakuwa mstari wa mbele kuwapopoa mawe. Mzee Ally Kibao, Samia kaamua kumuua kwa sababu kaingilia tu maslahi yake; hao unaonilazimisha kuwasehemu yao wakifanya hayo nitakuwa mstari wa mbele kuwasuta..
Nimekueleza hapo juu; kama unamjuwa mTanzania mwingine yeyote anayesimamia maslahi ya nchi hii na kuyaweka mbele zaidi ya kitu chochote, mTanzania huyo nitakuwa naye bega kwa bega. Sasa unataka kunilazimisha niseme nini unachotaka wewe.