Watanzania Kushirikiana Na Wamarekani Ni Dhambi?

FF ndio kusema kumbe watanzania walianza kufaidika na wamarekani toka zama hizo?

Its rather kufaidiwa. Soma history kabla hata hatujawa Tanzania na nani alikuwa behind ya sisi kuwa Tanzania, na mengi tu ambayo vijana wa wengi wa sasa hamjasomeshwa.

Kumbuka Zanzibar ilikuwa nchi ya kwanza Afrika kuwa na balozi kutoka Merekani (1833) na wanasema hivi:


"Zanzibaris and Americans have been friends for many, many years. America's official presence on Zanzibar goes back many years, to 1833 when a treaty between the United States and Oman provided for an American consular presence here – the first American consulate in Africa grew out of that. We have been trade partners with Zanzibar since the first American ships sailed here from across the oceans looking for whale oil to illuminate our city streets. Later, we brought cotton cloth and guns to trade for ivory and gum copal. Today, nearly 200 years later, we remain the largest purchasers of Zanzibari agriculture. As I mentioned to one of you tonight, it is not longer cloves that we are the largest purchasers of, but seaweed. "

Soma zaidi: United States Virtual Presence Post - Zanzibar, Tanzania - Remarks by U.S. Ambassador Mark Green at his Farewell Reception (January 8, 2009)
 
Inategemea tunashirikiana nao kwenye nini. Siku hizi wanatugawia vyandarua, wanajenga barabara, wanatoa mafunzo sehemu zile zingine . Masihala masihala watatuchagulia rais maana hawana maana hawa jamaa
 
Kwa wazee kama mimi watakumbuka msaada wa unga wa maziwa ya unga kwa mashule (kama sikosei mid 60s) kulikuwa kuna bendera hiyo na mkono mweusi na mweupe inasabahiana. Si jambo geni hilo.
heheheeee. Kumbe wewe mkongwe? Ndio maana post zako hazipatani na vijana. Shikamoo mkuu.. :)
 
Wakikuchoka wanakuletea snipers kama Osama. Risali moja tu ya jicho ili usiweze kuwaona waliokupiga
 
Ni dhambi kubwa. Ushikiriano huu ni wa kinafiki. Hawana mapenzi ya kweli kwetu wanataka watumie rasilimali zetu tu.
 
Back
Top Bottom