Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Wacha aupige tu....cc serikali ya wanyongeHatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Hiyu mwaka hautaisha kabla mungu hajampenda zaidiHatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Ndiyo maana Dkt Magufuli aliwahi kunena, ukiona wapinzani wanakusifia ujue kuna mahali umekosea. Tatizo la wapinzani wetu wanaleta siasa za uanaharakati Tanzania badala ya kuangalia nature ya mazingira yetu na kuendesha siasa kulingana na tamaduni zetu. Mbowe ni moja ya viongozi wabovu sana, Dkt Slaa ndiye alifahamu namna ya kuongoza upinzani, nadhani yale mafunzo yake yalimsaidia sana, Mbowe elimu nadhani ni tatizo, na mpaka sasa bado anatembelea nyota ya Dkt Slaa, yaani anadhani anaushawishi, ngoja apigwe mvua ili akomeHatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Warumi 13:1 mamlaka zote zimewekwa na MUNGU, kila ashindanaye na mamlaka hizo, ashindana na MUNGU wala sii SSH.Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?
America yenyewe kuepusha mambo kama haya ndiyo maana waliweka electoral college ili kulinda mambo muhimu kwa taifa lao...Uwape watanzania uhuru wa kuamua na jinsi hii ya ku assess mambo hata ya wazi wanashindwa kuwa na critical minds, si unatafuta majanga mchana kweupe?
Baba wa Taifa aliona mbali...Note yet uhuru!
Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?
America yenyewe kuepusha mambo kama haya ndiyo maana waliweka electoral college ili kulinda mambo muhimu kwa taifa lao...Uwape watanzania uhuru wa kuamua na jinsi hii ya ku assess mambo hata ya wazi wanashindwa kuwa na critical minds, si unatafuta majanga mchana kweupe?
Baba wa Taifa aliona mbali...Note yet uhuru!
Hata Mamlaka za Iddi Amin na Adolf Hitler ziliwekwa na Mungu?Warumi 13:1 mamlaka zote zimewekwa na MUNGU, kila ashindanaye na mamlaka hizo, ashindana na MUNGU wala sii SSH.
We fala binadamu ni kabati utakapoliweka ndo Apo Apo????Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.
Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.
Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.
Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.
Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Sijasema mimi ni maandiko yanasema. hata wana wa Israel walipo mkosea MUNGU aliwapa mfalme katili ili awafudishe adabu,Hata Mamlaka za Iddi Amin na Adolf Hitler ziliwekwa na Mungu?