‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

Vp kuhusu suala la usalama huko????

Ova
 
Wanabodi,

Jana nimeandika kuhusu misaada ambayo Rais huiomba nje hasa kwa waafrika wenzetu ambapo ukipitia forum za mitandao ya hayo mataifa tunadharaulika na kunangwa sana, kwa wale wafanyabiashara au wawekezaji huwezi kuilinganisha biashara ya Juba, Bor, Yei, Rombek na miji mingine, huko kumekucha Tanzania kumedorora kibiashara na mzunguko haupo huo ndio ukweli.
Ni kweli kabisa babaangu. Huku wafanyabiashara wengi ni Ma Bwashee. Tangu wamesibiwa njia sao sa madili na wisi, wamedorora kwelii.
 
Hey.. Guys

Kunafursa ya Mavazi .. Vyakula.. Na majiko ya gas.. Kunahitajika Cement.. Solar panel hii ndio kila mahali..

Update : sudani imeshafikia makubaliano ya amani na washa stopisha mapigano rasmi jana na pande zote kusign mikataba

Source: Kuna Mkenya rafiki yangu anafanya business huko kawa bilionair ndani ya mwaka huu tu..

Tatizo huyu mkenya anatokea kule kwao ..so sija jua kutokea uku kwetu njia ikoje...
Aliye wahi fika sudani kusini kupitia mipaka yetu atwambie tafadhali...
 
Opportunities are everywhere, ni wwe tu kama umeona kuna fursa usisubiri kesho anza sa hvi, panda basi nenda kenya from there utajua namna ya kufika s . Sudan.
Shida yetu bongo tunapenda sana kuomba ushauri let us start seeing opportunity in every difficulty instead of difficulty in every opportunity.
 
Kuomba ushauri si vibaya. Kwa kuwa umesema una rafiki yako mkenya anafanya hizo biashara omba ushauri kwake kwanza. Mengine kama alivyokushauri hussler
 
Sio vibaya kwa mwenye uzoefu akiutoa watz wengine wanufaike pia. Na ikiwezekana, basi anayefanya awasaidie wachanga wenye ndoto kufanikiwa nazo.
 
namjuaa chali mmoja wa arusha alikuwa anapeleka vyakula vya nafaka na mbogamboga ,kweli alitengeneza hela
ila baadae aliniambia alivamiwa na waasi akaporwa hela na kipigwa risasi mguuni,mtaji ukakata kabisa ila aliniambia fursa zipo nyingi hali ikitulia ataanza tena kwenda
pia aliniambia kuna watz walijiari kuendesha migahawa,biashara ndogo ndogo inalipa,na wengine expert kwenye telecom industry na international NGOS
 
Mkuu nipe namba za huyo chalii
 
Back
Top Bottom