‘Watanzania changamkieni biashara Sudani Kusini’

Tatizo la Juba ni gharama za maisha,ziko juu mno kiasi kwamba pesa unayoipata haikufikishi popote!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wanabodi,

Jana nimeandika kuhusu misaada ambayo Rais huiomba nje hasa kwa waafrika wenzetu ambapo ukipitia forum za mitandao ya hayo mataifa tunadharaulika na kunangwa sana, kwa wale wafanyabiashara au wawekezaji huwezi kuilinganisha biashara ya Juba, Bor, Yei, Rombek na miji mingine, huko kumekucha Tanzania kumedorora kibiashara na mzunguko haupo huo ndio ukweli.

Mkuu sasa si uende huko ukamate fursa? Nenda kafanye kazi utuletee mrejesho! Mimi I have been to Juba several times...unachokisema kina ukweli Fulani. Lakini unaandika kama porojo.

Fursa zipo kila mahali....ni jukumu lako na langu kwenda kuzikamata. Tatizo watu wako busy na ajira za Magufuli na Angela Kairuki!
 
"...na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity... "

Mkuu nadhani hapo ulimaanisha 'demand' is beyond your capacity. Not 'satisfaction'.

BTW... tupeane hiyo michongo mkuu.

-Kaveli-
Ahahahaha.... Nakuona nakuona mkuu, mchizi anasema yuko oversatisfied hatari sana.

Inavyoonekana ana formula ya kipekee sana inayoenda vizuri na kasi ya baba jeska. Itabidi atuuzie hiyo.
 
Yep mkuu, Hahaha. It seems huyo Kiongozi ni bonge la strategic kwenye bizna. Manake mpk demand inamzidi uwezo, ni kupiga hela si kitoto.
Nilimuomba tugawane umasikini, nami animegee hayo maunjanja ili kijana wa uswazi nikomae kuupiga teke umasikini. Ofkoz alinipromise kuwa ombi langu analifikiria.
CC: REDEEMER.

Yeah of course it is on my desktop lakini naomba antake razi me sio chizi 😀😀😎
 
Kiukweli s/Sudan sehemu zingine haipo stable kwa upande wa security ila biashara no nzuri sana mtu asikudanganye ,chakula, nguo, electronics, na zingine ni nzuri kuliko hata hapo kariakoo huku tunatumia dola tu
Hapo kwenye chakula hapo, hebu niambie wanakula nini? Maana mimi nina uwezo mkubwa sana wa kuzalisha sembe, tatizo ni usafirishaji, wenye magari waoga sana kupeleka gari zao sehem zenye migogoro, next year mambo yakenda sawa huenda nikapata 124 yangu mwenyewe mi mbishi kokote naingia.
 
Yep mkuu, Hahaha. It seems huyo Kiongozi ni bonge la strategic kwenye bizna. Manake mpk demand inamzidi uwezo, ni kupiga hela si kitoto.
Nilimuomba tugawane umasikini, nami animegee hayo maunjanja ili kijana wa uswazi nikomae kuupiga teke umasikini. Ofkoz alinipromise kuwa ombi langu analifikiria.
CC: REDEEMER.

-Kaveli-

Ahahaha....kweli huyu mjomba ni business strategic master mwenye macho ya kipekee. kama demand<supply basi hapo daily ni kupiga supernormal profit. Na watu kama hawa kwa awamu ni azina tosha anaweza akafungua office ya consultation tu na mambo yakaenda sawa hapa town.

Oyaa akikupa hayo maujanja itabidi na wewe ufanye ukristo kwa waefeso wamechalala mbaya huku kitaa hakuna kinachoenda kama ni bei tulishashusha sana.
 
Yeah of course it is on my desktop lakini naomba antake razi me sio chizi 😀😀😎
Ooh....with all due respects sir I really refrain my words which went offensively unintentionally. Sorry mimi ndio nilisema hilo neno mchizi now nafuta kauli.
Haya mkuu, kindly noted.
Hahaha namuita aje. Mkuu Lizarazu njoo una kesi huku. Lol

-Kaveli-
Nilisha solve msala braza. Amani itawale
 
Hapo kwenye chakula hapo, hebu niambie wanakula nini? Maana mimi nina uwezo mkubwa sana wa kuzalisha sembe, tatizo ni usafirishaji, wenye magari waoga sana kupeleka gari zao sehem zenye migogoro, next year mambo yakenda sawa huenda nikapata 124 yangu mwenyewe mi mbishi kokote naingia.
Nikuuzie semi yangu nimepaki baada ya kukorofishana na msimamizi.
 
Ooh....with all due respects sir I really refrain my words which went offensively unintentionally. Sorry mimi ndio nilisema hilo neno mchizi now nafuta kauli.

Nilisha solve msala braza. Amani itawale
😀 don't take it seriously just a joke though
 
Ahahaha....kweli huyu mjomba ni business strategic master mwenye macho ya kipekee. kama demand<supply basi hapo daily ni kupiga supernormal profit. Na watu kama hawa kwa awamu ni azina tosha anaweza akafungua office ya consultation tu na mambo yakaenda sawa hapa town.

Oyaa akikupa hayo maujanja itabidi na wewe ufanye ukristo kwa waefeso wamechalala mbaya huku kitaa hakuna kinachoenda kama ni bei tulishashusha sana.
Hahaha ni kweli demand ni kubwa sana kwenye issue ninazozifanya ila pia in some cases inakua ngumu kupata mzigo wa kutosha kutokana aina ya bidhaa ipo scarcely available na some circumstances which may be beyond human ability. Not something you can multiply in any way machenicaly and of course customer base is huge.
 
Ukisema Biashara nzuri sehemu unatakiwa u-take into consideration security issue ya Mahali, Inawezekana Juba unaweza tengeneza faida kubwa kutokana na Security Risk...The Higher the Risk , The higher the Return...
 
I suggest you must be monopolist in whatever biz you engage with, no one in competition even likes of bakheresa can easily escape the illfare as the result of this ailing economy. The country's economy state currently is decider which biz someone will find himself into. Sasa mkuu bila shaka huko hauna mshindani kabisa na kwa bahati mbaya hauna mzigo wa kutosholeza customers wote.. Sasa kama vipi Fanya diversification hapo upate na mawazo mapya na hizo circumstances zilizopo nje ya uwezo zitakuwa ni za kawaida.
 
Ni kweli kabisa mkuu, when you risk big you get big.

Kuna siku nilikuwa napiga story na mjeda mmoja ambae mara nyingi huwa anakuwa huko, akaniambia kule kuna waganda na wanyarwanda wanafundisha secondary schools, mishaara yao kwa mwezi inaanzia 5200sudanes pound ambazo ni sawa na Tsh.1.7m. Na wana uhitaji mkubwa sana wa walimu.
 
I suggest you must be monopolist in whatever biz you engage with, no one in competition even likes of bakheresa can easily escape the illfare as the result of this ailing economy. The country's economy state currently is decider which biz someone will find himself into. Sasa mkuu bila shaka huko hauna mshindani kabisa na kwa bahati mbaya hauna mzigo wa kutosholeza customers wote.. Sasa kama vipi Fanya diversification hapo upate na mawazo mapya na hizo circumstances zilizopo nje ya uwezo zitakuwa ni za kawaida.
It is true current situation sucks also, it's supposed to be way better than this but diversification is taken and I will keep an eye on it.

Priceless night comment ever, thank you.
 
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc

ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.
Unapiga deal gan mkuu? Tukufate
 
Sure, mie kabiashara kangu kanahusiana na mihogo naona the way wakulima wanavyomake money.Nanunua mihogo ile mikubwa natengeneza Kripsi....Kamtaji kadogo ila kanakua taratibu na najifunza changamoto humohumo
Naomba kujua na mim màana nawaza nisindke mwenyewe muhogo kwa kuwa naulima pia.
 
Ahahaha....kweli huyu mjomba ni business strategic master mwenye macho ya kipekee. kama demand<supply basi hapo daily ni kupiga supernormal profit. Na watu kama hawa kwa awamu ni azina tosha anaweza akafungua office ya consultation tu na mambo yakaenda sawa hapa town.

Oyaa akikupa hayo maujanja itabidi na wewe ufanye ukristo kwa waefeso wamechalala mbaya huku kitaa hakuna kinachoenda kama ni bei tulishashusha sana.

Poa poa mkuu. Tupo pamoja. I hope huyo mdau atatumegea maujanja. Kitaa hali ni tete sana mkuu.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom