KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,369
- 1,517
Mdau ebu tupe maarifa huko kuna fursa gani za biashara.Nilijua ulikua kufanya biashara kumbe kikazi . Gari route ya kampala juba inalipa mno kuliko Dar kigali.
Mdau ebu tupe maarifa huko kuna fursa gani za biashara.Nilijua ulikua kufanya biashara kumbe kikazi . Gari route ya kampala juba inalipa mno kuliko Dar kigali.
Jibu mubashalaaaa tungekuwa bar mzee ningekununulia bia hama kwemye daladala ningekulipia nauli. asee hizi ndo akili za wabongo wengi wenye kadi za vyamaNilijua ulikua kufanya biashara kumbe kikazi . Gari route ya kampala juba inalipa mno kuliko Dar kigali.
Sisi wenyewe tupo bongo na hatujuti kuwa bongo kwasababu kila kitu kinasonga. Sijui nani anakudanganya huko juba kuwa bongo hakuna biashara. Komaa huko huko tutapokea maiti utakaporudi umepigwa bom LA tako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Niko juba toka 2014 unaswali aseeeee?
Ease of doing business index (1=most business-friendly regulations) | DataAnaebisha alete facts tupeane nondo hapa hapa.
Kikubwa unachotakiwa kufanya ni kukana uraia wa Tanzania ya magufuri na kuomba uraia wa sudani ili usiabike na maneno ya mtandaoniWanabodi.
Jana nimeandika kuhusu misaada ambayo Raisi huiomba nje hasa kwa waafrika wenzetu ambapo ukipitia forum za mitandao ya hayo mataifa tunadharaulika na kunangwa sana , kwa wale wafanyabiashara au wawekezaji huwezi kuilinganisha biashara ya juba, bor, yei , rombek na miji mingine , huko kumekucha tanzania kumedorora kibiashara na mzunguko haupo huo ndio ukweli.
Vipi biashara ya mazao ya chakula huko?Niko juba toka 2014 unaswali aseeeee?
jicho la mwajiriwa na mfanya biashara hayawezi kuona vitu sawasawaMkuu nilikuwa Juba kikazi, acha kuwapotosha watu
Vip Dada Zetu Wale Wa Sinza Mori Wanaweza Wakapata Soko La Uhakika Huko Sudan[emoji86] [emoji709] [emoji844]Niko juba toka 2014 unaswali aseeeee?
Good, kufanya biashara Juba ni good idea kuendana na aina ya biashara, capability ya mfanya biashara, experience maeneo hatarishi kama Juba etc
ila hata hapa Tanzania mtu unapiga pesa ukiwa makini regarding type of business me napiga pesa za kutosha daily na bado soko linanishinda satisfaction is beyond my capacity so inategemea.