Mh wapo wengi hata Hawa wa mza ni wa jomba km sio wa pwani zao [emoji35] [emoji35] I hate themhao ni wachache tu, ila wabongo wenzangu wengi wanaenda jiunga na alshabab, mk254 akileta habari hapa watu wanambeza.
Kiki ya nini? I see truth in it. Unganisha hii na mauaji ya msikitininkule Mwanza.Siyo kweli wanatafuta Kiki hao . Wakenya siyo watu
Propaganda za bomba la mafuta