mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 661
Engine ya DCM ndio engine gani jamani???!!!!!!
Ingekuwa vizuri ungemuuliza aliesema anaenda huko kufuata hizo engine???
Engine ya DCM ndio engine gani jamani???!!!!!!
Ingekuwa vizuri ungemuuliza aliesema anaenda huko kufuata hizo engine???
Usijichanganye,wameuawa na kisha kubebwa kuja kutupwa ndani ya zambia.Hatari sana.Ujirani wa mashaka.R.I.P WATANZANIA
Michilizi ya damu,alama za tairi ,wametupwa just 500 metres ndani ya zambia.Walijuaje kuwa ni wa-Tanzania?
Usijichanganye,wameuawa na kisha kubebwa kuja kutupwa ndani ya zambia.
He said police at Nakonde have also handed over one middle aged man who was nursing bullet wounds at New Nakonde District Hospital and is suspected to have been with the dead men.
Mr. Kapeso however, could not give details as to how the man survived.
A suspect was picked early in the morning on Friday near Chaula filling station with bullet wounds on the left side of the chest similar to the bullet wounds found on the slain men who were found dumped in a bush in Yolo village about 500 metres from the Tanzania / Zambia border.
Hawa wameuawa hapa hapa Tanzania na kutupwa Zambia.Ushahidi alama ya michirizi ya damu barabarani.
Engine ya DCM ndio engine gani jamani???!!!!!!
Hatari sana.Ujirani wa mashaka.R.I.P WATANZANIA
kweli watanzania wapumbavu, mnaambiwa wenzenu wameuawa kama mbwa na kutupwa mizoga mnachoweza kusema n rest in peace, mmelaaniwa mnadhania siku zote zinakua ni habari za watu wengine, zamu yako inakuja na wewe utafanywa hivyo hivyo, unajuaje kama sio watanzania wenzatu waliotuua, haya ya wakina sitta na tamaa zao unadhani tunasalimika? akili nyepesi na uvivu wa kufikiri umeshafikiria ni ya watu wasiokuhusu, shit kabisa
Wameenda kutupwa au
wamekuja kutupwa ndani ya Nchi yenu (Zambia)
Bahati nzuri kuna mmoja aliye hai hapo Hospital mtupe basi kisa msije mkamuua na huyo, maana Watanzania tuna amani dhuluma mwiko
Bora kukutana na simba mwenye njaa binadamu tumekuwa wabaya sana aiseee
Yaani ni hatari...binadamu sasa tumejivika unyama......!
Kwa hiyo michirizi ya damu inaonesha kutokea Tanzania kuelekea Zambia?
toyota dcm