Watanzania 7 wauawa kwa risasi Zambia

Watanzania 7 wauawa kwa risasi Zambia

kweli watanzania wapumbavu, mnaambiwa wenzenu wameuawa kama mbwa na kutupwa mizoga mnachoweza kusema n rest in peace, mmelaaniwa mnadhania siku zote zinakua ni habari za watu wengine, zamu yako inakuja na wewe utafanywa hivyo hivyo, unajuaje kama sio watanzania wenzatu waliotuua, haya ya wakina sitta na tamaa zao unadhani tunasalimika? akili nyepesi na uvivu wa kufikiri umeshafikiria ni ya watu wasiokuhusu, shit kabisa

Kwa hiyo unataka watu wafanyeje? Wewe utakuwa mchochezi. Viachie vyombo vya dola vifanye kazi yake wacha kuhamasisha machafuko!
 
Ndivyo ilivyoelezwa jamani kwenye hiyo habari. Tatizo letu tukiona heading tu tunakimbilia kutoa comments badala ya kusoma maelezo yaliyomo ndani ya habari! Au sijui kwa vile ni kidhungu?
Kuona tu michirizi huwezi jua unakotoka wala unakoenda, weka points A B C D E F G weka mchirizi kuanzia C mpaka E mwite mtu muulize ulianzia wapi huo mchirizi. Akijibu muulize nani kachora hizo Alphabets!!!!!
 
Tetesi ambazo hazijadhitishwa ni kuwa hao marehemu ni Majambazi walitokea Mbeya mjini, Nia yao walitaka kavunja duka la kubadilishia fedha Nakonde.

Na kati yao kuna wazambia wawili ambao walishirikiana nao,nao wameuwawa.

Tetesi za Mbeya zinasema hao marehemu wanafahamika vizuri tu kwa matukio yao ujambazi wa siku nyingi.

NB.Kuhusu maiti kupatikana mita 500 sio hoja kulingana na maingiliano makubwa yaliopo kati ya Tunduma na Nakonde ni kama mji mmoja

ndio maana kuna watanzania wengi wanaendeshea shughuli zao upande wa Zambia lakini wanalala Tanzania vivyo hivyo kwa Wazambia.
 
Aisee!
 
I would put the boys down this lane!!!!
 
Sisi ni madereva tunpita zambia kila siku tunajua wazambia walivyo na roho mbaya nyie fanyeni mzaha watatumaliza,sio raia sio askari wote ni wanyanyasaji na maneno ya kejeli kwetu watz.
 
Hatari. Aliyepona wafanye juu chini kwa uangalizi wa karibu kiusalama ili aelezee mkasa wote.
 
Niwajuavyo watu hasa vijana wa Tunduma nawapeni wiki moja mpaka utafungwa na Wazambia watapewa kichapo cha mbwa mwizi. Kumbukeni ya mwaka 2008
 
Sisi ni madereva tunpita zambia kila siku tunajua wazambia walivyo na roho mbaya nyie fanyeni mzaha watatumaliza,sio raia sio askari wote ni wanyanyasaji na maneno ya kejeli kwetu watz.

Wengi tunaotokea kusini magharibi tunawajua hao Wazambia, hawafai kuishi nao
 
Tetesi ambazo hazijadhitishwa ni kuwa hao marehemu ni Majambazi walitokea Mbeya mjini, Nia yao walitaka kavunja duka la kubadilishia fedha Nakonde.

Na kati yao kuna wazambia wawili ambao walishirikiana nao,nao wameuwawa.

Tetesi za Mbeya zinasema hao marehemu wanafahamika vizuri tu kwa matukio yao ujambazi wa siku nyingi.

NB.Kuhusu maiti kupatikana mita 500 sio hoja kulingana na maingiliano makubwa yaliopo kati ya Tunduma na Nakonde ni kama mji mmoja

ndio maana kuna watanzania wengi wanaendeshea shughuli zao upande wa Zambia lakini wanalala Tanzania vivyo hivyo kwa Wazambia.

Tunduma mi nimepata kuishi eneo la maporomoko, ni kweli Tunduma na Nakonde ni mji mmoja unaotenganishwa na bonde tu ila nchi mbili tofauti
 
Zambians has always been silent killers of a number of Tanzanians especially around Tunduma border. They don't talk anything but they just kill us and our government is doing too little which is equal to nothing to stop this kind of silent brutality towards innocent Tanzanians.
The lives of those seven was eaaily taken and Nothing will be said and done from tz side only to hear tomorrow that we will send some troups in Syria.
 
Niwajuavyo watu hasa vijana wa Tunduma nawapeni wiki moja mpaka utafungwa na Wazambia watapewa kichapo cha mbwa mwizi. Kumbukeni ya mwaka 2008
Hamna vurugu zozote zitakazo tokea, waliouwawa ni Majambazi wanafahamika isitoshe sio wakazi wa Tunduma wametokea Mbeya, na kati ya waliouwawa wawili ni wazambia.

Hapa Tunduma tumechoka na uhalifu wa silaha, matukio ya uhalifu hayaishi mara nondo, mapanga na Bunduki ni jambo la kawaida.

Imefika mahali wananchi wanalaumu Polis kuwa hawafanyi kazi ipasavyo

Hivyo wanavyopunguzwa ni afadhali kwetu wananchi.
 
watanzania tumezidi wizi ..acha tuuwawe tu
 
Kwa hiyo michirizi ya damu inaonesha kutokea Tanzania kuelekea Zambia?

adding that
marks of vehicle tyres dripping blood
where visible over a long distance from
Tanzania into Zambia where the bodies
were dumped.
 
Tatizo wengi wenu hamjui kero za hao Majambazi hapa Tunduma, mji mdogo lakini matukio ya uhalifu si haba.

Bahati mbaya kwao safari hii wameenda kuvamia Zambia ambako Polis kurusha risasi sawa na Tanzania polis kukunasa kofi.
 
Ndivyo ilivyoelezwa jamani kwenye hiyo habari. Tatizo letu tukiona heading tu tunakimbilia kutoa comments badala ya kusoma maelezo yaliyomo ndani ya habari! Au sijui kwa vile ni kidhungu?

We kimburukurukutu usijifanye unajua sana...

Taarifa hii ilipowekwa mwanzo haikuwa na maelezo hayo unayoyaona sasa...
 
Back
Top Bottom