Tatizo wengi wenu hamjui kero za hao Majambazi hapa Tunduma, mji mdogo lakini matukio ya uhalifu si haba.
Bahati mbaya kwao safari hii wameenda kuvamia Zambia ambako Polis kurusha risasi sawa na Tanzania polis kukunasa kofi.
Hamna vurugu zozote zitakazo tokea, waliouwawa ni Majambazi wanafahamika isitoshe sio wakazi wa Tunduma wametokea Mbeya, na kati ya waliouwawa wawili ni wazambia.
Hapa Tunduma tumechoka na uhalifu wa silaha, matukio ya uhalifu hayaishi mara nondo, mapanga na Bunduki ni jambo la kawaida.
Imefika mahali wananchi wanalaumu Polis kuwa hawafanyi kazi ipasavyo
Hivyo wanavyopunguzwa ni afadhali kwetu wananchi.
Mkuu mimi naongea kulingana na matukio ya uhalifu yalivyoshamiri hapa Tunduma na mara chache kwa upande wa Zambia.Mkuu kuna kitu unajua kama sio kuficha! Mimeona comment zako kama nne ukitetea huu unyama! Hata kama ni majambaazi je, hiyo ndo adhaabu stahili kwao? Na je ni nani aliyewaua tena kwa risasi? Je, kama nni polisi wa Tanzania au Zambia kwa nn wakawatupe miili yao porini??? Ukuumbbuke kuwa Zambia imekuwa ikiua raia wa Tanzania hata kwaa makosa madogo ya kufikishwa kwa vyombo vya sheria!
kweli watanzania wapumbavu, mnaambiwa wenzenu wameuawa kama mbwa na kutupwa mizoga mnachoweza kusema n rest in peace, mmelaaniwa mnadhania siku zote zinakua ni habari za watu wengine, zamu yako inakuja na wewe utafanywa hivyo hivyo, unajuaje kama sio watanzania wenzatu waliotuua, haya ya wakina sitta na tamaa zao unadhani tunasalimika? akili nyepesi na uvivu wa kufikiri umeshafikiria ni ya watu wasiokuhusu, shit kabisa
We unaweza jua magari au unakurupuka tu????!!msibadili mada Engine ya DCM ni gari usijifanyi hujawahi panda dala dala weye... hapa tunazungumzia Islamic state,, au Dawla islamiyya..... hao mengine ya DCM tupa kule
Tetesi ambazo hazijadhitishwa ni kuwa hao marehemu ni Majambazi walitokea Mbeya mjini, Nia yao walitaka kavunja duka la kubadilishia fedha Nakonde.
Na kati yao kuna wazambia wawili ambao walishirikiana nao,nao wameuwawa.
Tetesi za Mbeya zinasema hao marehemu wanafahamika vizuri tu kwa matukio yao ujambazi wa siku nyingi.
NB.Kuhusu maiti kupatikana mita 500 sio hoja kulingana na maingiliano makubwa yaliopo kati ya Tunduma na Nakonde ni kama mji mmoja
ndio maana kuna watanzania wengi wanaendeshea shughuli zao upande wa Zambia lakini wanalala Tanzania vivyo hivyo kwa Wazambia.
kweli watanzania wapumbavu, mnaambiwa wenzenu wameuawa kama mbwa na kutupwa mizoga mnachoweza kusema n rest in peace, mmelaaniwa mnadhania siku zote zinakua ni habari za watu wengine, zamu yako inakuja na wewe utafanywa hivyo hivyo, unajuaje kama sio watanzania wenzatu waliotuua, haya ya wakina sitta na tamaa zao unadhani tunasalimika? akili nyepesi na uvivu wa kufikiri umeshafikiria ni ya watu wasiokuhusu, shit kabisa
kweli watanzania wapumbavu, mnaambiwa wenzenu wameuawa kama mbwa na kutupwa mizoga mnachoweza kusema n rest in peace, mmelaaniwa mnadhania siku zote zinakua ni habari za watu wengine, zamu yako inakuja na wewe utafanywa hivyo hivyo, unajuaje kama sio watanzania wenzatu waliotuua, haya ya wakina sitta na tamaa zao unadhani tunasalimika? akili nyepesi na uvivu wa kufikiri umeshafikiria ni ya watu wasiokuhusu, shit kabisa
We kimburukurukutu usijifanye unajua sana...
Taarifa hii ilipowekwa mwanzo haikuwa na maelezo hayo unayoyaona sasa...
You didn't have to do this watu nane.We kimburukurukutu usijifanye unajua sana...
Taarifa hii ilipowekwa mwanzo haikuwa na maelezo hayo unayoyaona sasa...