msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
We unaweza jua magari au unakurupuka tu????!!
Kwa mtu wa gari ukisikia hint lazima uhoji sasa we bandari ipo Dar engine ziwe nyingi Zambia unachukuaje hii habari???!!!!
Au we ndiye uliyebaki kati ya wahanga? ???!!!
ha umejuaje? kazi ya kuotea inakufaa zaidi