Tangu lini mchaga akawa mtani wa wasukuma?Wanawaonelea tu, jamani watu wasitaniane?
magufuli alisema 'hao wengine mwenyez MUNGU atawalipa' teh! jipu la msoga hilokwa jinsi ninavyowajua mlivyo wambea kama kweli Kikwete angekuwa ufisadi hamna rangi angeacha kuiona kutoka kwako na hao mbwa wenzako.
Habari ya kutunga hiiWANAO WAKEJELI WASUKUMA WAPANDA KIZIMBANI.
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo 16 January chini ya kifungu cha sheria 26,27.B ya mwaka 2015
kuhusu makosa ya matumizi mabaya ya mtandao imewapandisha kizimbani mahakama ya mkazi kisutu watu watano ambao ni John Emanueli kimaro,Husna mohamed,Peter maiko mushi,Obadia James onyango,Na Swai emagodi Swai.
Wote wakazi wa jiji la dar es saalam kwa kosa la kutengeneza picha za kejeri na matusi kwa kabila la Wasukuma na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii kimakosa na kinyume cha sheria za matumizi ya mtandao, washitakiwa wamekana mashitaka, na kurudishwa rumande mpaka tarehe 23-1-2016 kesi itakapo tangazwa tena.
Kama ni kweli hawa TCRA sasa wameanza kufanya kazi ambazo hazina tija. Mambo mengine ni ya utani kati ya makabila na huwa ni burudani na huelimisha yanapofanyika. Kama hakuna mtu binafsi aliyelalamika kuudhiwa na huo utani kama yeye binafsi ndiye aliyetaniwa hapo sawa lakini vinginevyo ni kuingilia mahusiano ya jamii. Mimi nimezoea kuwatania wangoni kwa kuwaita: Bombii, nyumbiii kwa hiyo na mimi nitashitakiwa? Kuna utani wa mtu na mtu, kabila na kabila, timu na timu kama vile Simba na Yanga sasa hapo watakamata wangapi?WANAO WAKEJELI WASUKUMA WAPANDA KIZIMBANI.
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo 16 January chini ya kifungu cha sheria 26,27.B ya mwaka 2015
kuhusu makosa ya matumizi mabaya ya mtandao imewapandisha kizimbani mahakama ya mkazi kisutu watu watano ambao ni John Emanueli kimaro,Husna mohamed,Peter maiko mushi,Obadia James onyango,Na Swai emagodi Swai.
Wote wakazi wa jiji la dar es saalam kwa kosa la kutengeneza picha za kejeri na matusi kwa kabila la Wasukuma na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii kimakosa na kinyume cha sheria za matumizi ya mtandao, washitakiwa wamekana mashitaka, na kurudishwa rumande mpaka tarehe 23-1-2016 kesi itakapo tangazwa tena.
Kesi ya kipumbafu kabisa.WANAO WAKEJELI WASUKUMA WAPANDA KIZIMBANI.