linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,732
- 4,393
Hahahaaa waulizage sa zingine. Am a proud sukuma womanHuu utani mbona ni kitu cha kawaida tu, hivi kumtania mtu amechomekea koti nayo iwe kosa la jinai, hii nchi hii sasa...
Hahahaaa waulizage sa zingine. Am a proud sukuma womanHuu utani mbona ni kitu cha kawaida tu, hivi kumtania mtu amechomekea koti nayo iwe kosa la jinai, hii nchi hii sasa...
Mkuu, kwa habari nilizozipata kutoka ndani zaidi, kuna wanasheria maarufu hapa nchini wamejaribu kuwawekea dhamana lkn juhudi zikagonga mamba, kutokana na uzito wa mashitaka yanayowakabili hawa ndugu.Wasukuma tunapenda sana utani aisee...lazima niwawekee zamana ili watoke.
Taarifa hii ni kweli mkuu?Mkuu, kwa habari nilizozipata kutoka ndani zaidi, kuna wanasheria maarufu hapa nchini wamejaribu kuwawekea dhamana lkn juhudi zikagonga mamba, kutokana na uzito wa mashitaka yanayowakabili hawa ndugu.
kwani mkapa wakati anajiuzia kiwira na kuuza NBC, NMB, tanesco, meremeta, mwananchi gold, epa scandal, radar scandal, ndege ya rais, magari ya jeshi na mengineyo mengi Kikwete alimfanya nini? lakini mbona yaliandikwa tukajua? kinachowashinda kuandika ya Kikwete ni nini hasa? tupeni fact tuungane wote kumshambulia Kikwete kama tulivyofanya kwa mkapa kama ni kweli katufanyia ufisadi. badala ya kuja na facts mmebaki wambea tu. hovyo kabisa.magufuli alisema 'hao wengine mwenyez MUNGU atawalipa' teh! jipu la msoga hilo