Watano wapanda kizimbani kwa kuwakejeli wasukuma

Watano wapanda kizimbani kwa kuwakejeli wasukuma

Hahahaaa dah hii kali hakuna hata utani wajadi siku hizi au kisa mkuu anatokea pande zile...
 
Januari 16 ilikuwa jumamosi mahakama gani inafanya kazi jmos,uongo huu.
 
Hii ni kazi ya vijana wa bavicha,wanafanya mazoezi ya uchochezi,tayari kwa uchaguzi mkuu ujao
 
Hii ni kazi ya vijana wa bavicha,wanafanya mazoezi ya uchochezi,tayari kwa uchaguzi mkuu ujao
 
Mimi Msukuma hapa, kesi hii ni ya kipuuzi na kinyume cha spirit ya utani ya Wasukuma qanaojua mila na utamaduni wa Kisukuma.
Mkuu,
Wasukuma watani zenu huwa ni Wachaga!???
 
Hawa vipi,,kwaiyo mfano Mimi nikiwatania watani zangu wanyamwezi jela inaniita,,,bac wafute utani usiwepo kabisa nchini, aisee tutaona mengi
 
Wasukuma tunapenda sana utani aisee...lazima niwawekee zamana ili watoke.
 
fisadi yuko zake msoga anakula kiyoyozi tu
kwa jinsi ninavyowajua mlivyo wambea kama kweli Kikwete angekuwa ufisadi hamna rangi angeacha kuiona kutoka kwako na hao mbwa wenzako.
 
Hivi watanzania tumefikaje katika hali hii, hivi kweli katika hali hii ya technolojia utani ubaki kama ulivyokuwa miaka 40 iliyopita? Mlalamikaji katika hii kesi ni nani? Kwamba wasukuma tumekwazwa na huu utani kweli? Hivi siku hizi mamelo ni marufuku kumbe?
 
Kama ni kweli hiyo kesi. Jee kosa lao ni kutania Makabila au kutania Kabila la "Mtukufu Bwana Mkubwa?"
 
Hii ndio faida ya kabila kuwa na rais.


Wachaga wametaniwa weee ,hamna aliyejari
 
Mbona kesi ya kijinga sana hiyo? Kwani sisi wenyewe tumelalamika kokote? Mbona sisi wenyewe tunapenda utani na kila mtu? Mbona Magufuli alipiga push up mbele za watu (huo si ulikuwa utani)? Wawaachie huru hao washikaji sisi hatuna shida na mtu, ila dada zao habari ya Wasukuma wanaijua!!
Hakuna kesi hapo kwakua mila za kitanzania zinaruhusu utani wa kimkabila
 
Back
Top Bottom