Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
WANAO WAKEJELI WASUKUMA WAPANDA KIZIMBANI.
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo 16 January chini ya kifungu cha sheria 26,27.B ya mwaka 2015
kuhusu makosa ya matumizi mabaya ya mtandao imewapandisha kizimbani mahakama ya mkazi kisutu watu watano ambao ni John Emanueli kimaro,Husna mohamed,Peter maiko mushi,Obadia James onyango,Na Swai emagodi Swai.
Wote wakazi wa jiji la dar es saalam kwa kosa la kutengeneza picha za kejeri na matusi kwa kabila la Wasukuma na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii kimakosa na kinyume cha sheria za matumizi ya mtandao, washitakiwa wamekana mashitaka, na kurudishwa rumande mpaka tarehe 23-1-2016 kesi itakapo tangazwa tena.