Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

Hali zenu wana jf! Mda mwingi mimi nkipumzika napenda kusikiliza radio hivyo mda huo nmebahatika kusikia sauti za watangazaji kadhaa ambao nliona ni wakali nao ni hawa Millard Ayo, B dozen, Mchomvu, Dina Marios wote hawa wa clouds fm, Sam Missago, Sebastian, Michael Baruti kutoka Ea radio, Maulid Kitenge na Issack Gamba wa radio one, Halima Kassim (HK) wa kill fm na Gadner aliyekuwa clouds sasa Times fm bila kusahau mh mbunge Juma Nkamia aliyekuwa Tbc. Mdau mwenzang wanaojitahidi kwa upande wako ni akina nani? Kumbuka kila mtu na chaguo lake na mapenzi yake binafsi................!!! Asante..!
Walikuwepo hawa hapa

1. Siwatu Luanda - RTD
2. Sara Dumba - RTD
3. Rosemary Mkangala - RTD
4. Charles Hilary - RTD
5. Michael Katembo - RTD
6. Betty Mkwasa -RTD/Radio onE
7. Halima Mchuka - RTD
8. Abubakary Liongo Radio Tanzania
9. Joan Itanisa - RAF
10 Ridhsha Sagati - RFA
11. Godwin Gondwe - RFA/Radio one
12. Abisai Steven - RTD
13. Shida Masamba - RTD
14. Ben Kiko - RTD
15. Aloisia Maneno - RTD
16. Rehema Mwakangale - Radio one/ITV
17. Mama Debora Mwenda - RTD
ni wengi, hawa ni kwa uchahe tu.......
 
Walikuwepo hawa hapa

1. Siwatu Luanda - RTD
2. Sara Dumba - RTD
3. Rosemary Mkangala - RTD
4. Charles Hilary - RTD
5. Michael Katembo - RTD
6. Betty Mkwasa -RTD/Radio onE
7. Halima Mchuka - RTD
8. Abubakary Liongo Radio Tanzania
9. Joan Itanisa - RAF
10 Ridhsha Sagati - RFA
11. Godwin Gondwe - RFA/Radio one
12. Abisai Steven - RTD
13. Shida Masamba - RTD
14. Ben Kiko - RTD
15. Aloisia Maneno - RTD
16. Rehema Mwakangale - Radio one/ITV
17. Mama Debora Mwenda - RTD
ni wengi, hawa ni kwa uchahe tu.......
YAANI UMENIKUMBUSHA HADITHI YA UA JEKUNDU KWENYE CHEICHEIIII SHANGAZI EEH SHANGAZI TUFURAHII SHANGAZII EEEH SHANGAZIII..!!!

Ben Kiko.. Nadhani ni kifupi cha Benedict Kikoti

Hapo kwa Charles Hilaly, umenikumbusha kipindi cha michezo saa 2 kasorobo usiku..! Utamsikia, na hukoTanga, wa mbili havai moja. Ujuwe mtu kafungwa huko.

Kulikuwa na msoma taarifa za habari JACOB TESHA na baadaye alifuata mwingine BUJAGA IZENGO KADAGO

Kuna huyu, nikiripoti kutoka Songea, mimi ni Abisae Steven
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kama hawapo Sylivester Bahati - Kiss FM miaka hiyo na ML Chris - Clouds FM miaka hiyo, hiyo list ni ya wapiga kelele tuu.
 
YAANI UMENIKUMBUSHA HADITHI YA UA JEKUNDU KWENYE CHEICHEIIII SHANGAZI EEH SHANGAZI TUFURAHII SHANGAZII EEEH SHANGAZIII..!!!

Ben Kiko.. Nadhani ni kifupi cha Benedict Kikoti

Hapo kwa Charles Hilaly, umenikumbusha kipindi cha michezo saa 2 kasorobo usiku..! Utamsikia, na hukoTanga, wa mbili havai moja. Ujuwe mtu kafungwa huko.

Kulikuwa na msoma taarifa za habari JACOB TESHA na baadaye alifuata mwingine BUJAGA IZENGO KADAGO

Kuna huyu, nikiripoti kutoka Songea, mimi ni Abisae Steven
Redio Tanzania ilikuwa imesheheni vipaji, unaachaje kumsikiliza Malima Ndelema na kipindi chake cha nyimbo za asili na Mkoa kwa mkoa, anakusafirisha mkoani maybe kwa wanyamwezi, hapo utaambiwa chakula cha wanyamwezi, tabia zao, ngoma zao za asili, wanalima mazao gani n.k n.k zamani ilikwa raha sana.
 
Back
Top Bottom