Watangazaji waiponza Times FM

Watangazaji waiponza Times FM

Mkandara
Sijakuelewa vizuri. Kwa mtazamo wako unaonelea turudi kwenye ujamaa au unaona tumeshafanya makosa. Kwa ushauri wako. What should we do? Navyojua mimi sisi hatukuingia kwenye ubepari kwa kupenda. Ukiniambia tumefanya makosa katika utekelezaji wa sera ya kibepari hapo nitakubaliana na wewe. Sababu za makosa zinajulikana ikiwa ni pamoja na urafi wa baadhi ya watu waliopewa madaraka pamoja na elimu duni ya ubepari na misingi yake.

Hivi eeh..!!!!
 
radio free africa,mthe sound of africa, kati ya radio zangu bora kabisa, angalia vipindi vyao.
si hao wengine saa12-4, PB, 4-7, leo tena, 7-10, xxl, 10-1 jahazi, 1-3 amplifer, kila siku hivyo hivyo tu bire kabisa.

Una shughuli gani hapa mjini hadi unapata muda wa kusikiziliza upuuzi mwingi hivi? Au bado unagombania maandazi na wadogo zako?
 
Mbona Shigonga anaandika habari ambazo zinahifadhiwa kusoma hata baada ya mwezi? Hajafungiwa na serikali. Ila kurusha hewani ambako hata hao watoto hatuna uhakikia kama wanasikiliza kweli ndio wapate adhabu? Kuna redio nyingi nchini zinatangaza chini ya kiwango. Hatuna watangazaji bali wanaotafuta maslahi tu.
 
Na upuuzi mwingi unaoandikwa na magazeti ya udaku nayo yachukuliwe hatua
Kweli kabisa hhasa kuweka picha za ajabu ajabu kwenye kurasa za mbele alafu wanajidai wanafichua maovu wakati hizo picha watu walipiga faragha hivyo busara ni kutoziweka kwenye magazetu yao maana watoto hawaangalii lengo la kuandika hiyo habari wao wana-base kwenye picha. (kama walivyofanya polisi kwa kuwadhibiti waliokuwa wanapigana denda lakini hata yule aliesambaza mitandaoni nae akala kibano)
 
Una shughuli gani hapa mjini hadi unapata muda wa kusikiziliza upuuzi mwingi hivi? Au bado unagombania maandazi na wadogo zako?

Anaweza akawa dereva wa bodaboda au ana duka lake hivyo muda anao wa kutosha huku kazi inafanyiaka
 
tbc zote ni majanga miziki ya matusi na vipindi vya kipwani pwani vya kishambenga mipasho, taarabu, matusi na bahati mbaya waendeshaji na washabiki wakubwa ni watu wa dini furani hivi ya pwani
 
Una shughuli gani hapa mjini hadi unapata muda wa kusikiziliza upuuzi mwingi hivi? Au bado unagombania maandazi na wadogo zako?

Shoeshiner au ni dereva either wa bodaboda au daladala.
 
dida ndo kila kitu anawashika mbaya wamama wa mjin
saa sita ngiiiiiii
kitu kimeanza DAR NZIMA
MI dida namkubali mwanamke kujiamini

Sana tuu...mwanamke kujiamini, anaishi maisha yake, Mtu akizingua tupa kulee kwani sh ngapi?

Yani katika watanzania Milioni arobaini ukose mwingineee??? Soon itakuja ndoa ya nne...
 
ha ha ha,haya mwisho wa kipindi wanajifunza nin???

Wanajifunza kujiamini hadi kujiogopa, kuwa miss Independent....Kutoogopa kuachana...kama ndoa zipo mtu anaweza kuolewa hata kumi...haina kung'ang'aniana kama roho...
Na maneno ya shombo yoteee....!
 

Attachments

  • 1413264543819.jpg
    1413264543819.jpg
    51 KB · Views: 153
Wanajifunza kujiamini hadi kujiogopa, kuwa miss Independent....Kutoogopa kuachana...kama ndoa zipo mtu anaweza kuolewa hata kumi...haina kung'ang'aniana kama roho...
Na maneno ya shombo yoteee....!
Hapo ndo wanapaweza,hii mizizki inasikilizwa sana uswahilini,Magomeni,mwananyamala,Temeke,Mbagara,Vingunguti(Watuma sms wengi ndo wa maeneo hayo),na ndo kwenye maneno ya shombo mengi huko,na vigodoro
 
Back
Top Bottom