Watangazaji waiponza Times FM

Watangazaji waiponza Times FM

Wanajifunza kujiamini hadi kujiogopa, kuwa miss Independent....Kutoogopa kuachana...kama ndoa zipo mtu anaweza kuolewa hata kumi...haina kung'ang'aniana kama roho...
Na maneno ya shombo yoteee....!

Ukakasi huu...
 
Sana tuu...mwanamke kujiamini, anaishi maisha yake, Mtu akizingua tupa kulee kwani sh ngapi?

Yani katika watanzania Milioni arobaini ukose mwingineee??? Soon itakuja ndoa ya nne...

Umetishaaaa....
 
Inawezekana ikawa ni mizengwe, kuna wasanii kadhaa ambao hawapewi promo na mainstream media lakini Times wanang'aa. Kuna thread hapa inahusu kamgogoro kadogo kati ya media fulani ambazo hazikutajwa na Prodyuza wa Studio za Irie ambako ndiko umetengenezwa wimbo wa Vitali Maembe, Vuma.
 
Back
Top Bottom