Watangazaji wa ITV wanatimkia TBC kila uchwao

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
43,652
90,101
1. Sam Mahela
2. Shamim Mlacha
3. Wilberforce Ngoto
4. Henry Mabumo
5. Spencer Lameck

Hao ni baadhi niliowaona siku za karibuni wakitangaza, hadi nikahisi natazama ITV.

Ni kwamba TBC kuna maslahi kuliko ITV, au ITV kuna shida gani mbona watangazaji wake hawadumu sana?
 
Tetesi tu nilizozisikia ITV imefulia, mshahara tia maji tia maji (niliyoyasikia lakini)
Kwa hiyo waliobaki pale wanakufa na tai shingoni? Dah inasikitisha, Mengi anakufa na makampuni yake au!
 
Uhakika wa mshahara kila mwezi,japokuwa mishahara ya serikali sio mikubwa.
 
Back
Top Bottom