Hongera ITV Kutuonyesha Live Uchaguzi. TBC Pia Wako Live ila ni Club Raha Leo Mbeya!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,670
2,000
Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home, naacha kwanza wenye pressure za kupiga kura watangulie, mimi najivuta hadi Majira ya saa 9, vituo havina watu, unafika unakuta unagonjwa, hivyo unapiga kura kiulani bila foleni.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali kwa asubuhi hii, nimeona ITV ndio TV pekee inayotutangazia live za matangazo ya moja kwa moja za kutoka vituo mbali mbali vya kupigia kura katika majimbo ya Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli, kule Siha yupo Isakwisa Mwaifuge na Paul James, na huku Kinondoni, wapo Henri Mabumo, Spenser Lameck, Richard Stephen na Godfrey Monyo, huku anchor studio zao akiwa ni mtangazaji mahiri Binti Jacline Slemu.

Kwa asubuhi hii, TBC pia nao wako live ila ni kutokea mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Kwa maoni yangu, ITV hapa ndio inaonekana kama ndio TV ya Taifa kwa kufanya vitu ambavyo ni TBC ilipashwa kufanya, halafu TBC inachofanya kwenye hicho Kipindi cha Club Raha Leo, ni level ya Clouds TV!.

Kitendo kinachofanywa na ITV kinastahili pongeza za dhati na huu ndio uzalendo ninauzungumzia, kutanguliza mbele maslahi ya taifa, kwa sababu siamini kama ITV wamelipwa na yeyote kurusha matangazo hayo, na mimi being a broadcast journalist, nafahamu changamoto ya kurusha matangazo ya TV Live kutoka maeneo mbalimbali in terms of resources, it is an expensive undertaking, lakini ITV wameamua kutumia gharama hizi ili Watanzania tupate habari. Hongera sana Mzee Mengi, Joyce Mhavile na timu nzima ya ITV.

Tukija upande wa TBC, kwa vile mimi niliwahi kufanya hapo at management level, nafahamu changamoto ya resources TBC inazokabiliana nazo, lakini kusema la ukweli, ukiondoa Azam TV kwa upande wa vifaa, hakuna TV yoyote wala redio yoyote Tanzania na nchi zote za Africa Mashariki, inayoweza kushindana na TBC kwa manpower ya watangazaji mahiri, TBC hana mshindani, tatizo ni mismanagement ya kujipanga tuu kwa sababu sio kila kitu kinahiaji rasilimali fedha!.

Ili TBC yetu ipige hatua za haraka, lazima Dr. Rioba atengeneze kaji small team ka think tank yake and to be be thinking ahead of events na kuruhusu maximum creativity tka kwa vijana wake wa nyumbani, na ku reap external talents kutoka nje kupitia outside production, mfano siku za Jumamosi asubuhi, hakuna mtoto yoyote anaangalia TV nyingine Zaidi ya Kipindi cha Watoto cha TBC!.

Kama walikuwa na ziara ya Club Raha Leo, wange think ahead of time, siku ya leo ziara hiyo ingekuwa mkoni Kilimajaro, na asubuhi hii wangekuwa Siha kupiga ndege wawili kwa jiwe moja!. Lakini leo siku ya uchaguzi muhimu kama wa Kinondoni ambako TBC wenyewe wako Kinondoni, wameshindwaje kutuletea live coverage ya uchaguzi, halafu wanatuletea Club Raha Leo kutokea Mbeya?!, nani atawaelewa?.

Na TV nyingine zote ziko wapi leo?!, lakini ingekuwa ni Live ya Ikulu!, ingeshuhudia jinsi makamera yanavyojazana hata kupishana ni shida. Any way, namtakia Dr, Rioba, utekelezaji mwema wa mpango huu Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Paskali
Threads nyingine za mtoa mada kuhusu TV zetu
TBC Yafanya Kweli!, Yashusha OB Van ya Kufa Mtu!, Ina Kamera 12!. Itarusha HDV Signal Kama DSTV.
Live News Interactive!-TBC-1 Yastahili Pongezi!. ''Hongera TBC-1" Keep it Up!
Miaka 18 Bila Mwalimu: Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba Anazungumza
Kama Magufuli Anaangalia Clouds TV na Kuipongeza, Kunatuma Ujumbe Gani kwa TV yake ya TBC?!.
Media kuikosoa Serikali: Je, Tanzania tuna Strong Media au Strong Journalists wenye Uwezo huo?
Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?.
Wito kwa wanahabari: If you can't get what you want, just take what you get!
Jee Una Kipaji cha Utangazaji?. Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV.
Kwa "Breaking News", Hongera ITV/Radio One!, Hongera Mtangazaji!.
ITV kutangaza LIVE Bunge la Afrika Mashariki. Je, ITV sasa ni zaidi ya TV ya Taifa?
Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!, Jana Imefanya Kazi Nzuri Iliyotukuka!
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali, nimeona ITV wakituletea live za moja kwa moja kutoka Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli.

TBC nao pia wako live mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Nitaendelea

Paskali

Bora sipende maana you upigaji kura si siri tena.Wasimamizi ndiyo waliopiga kura wengine ni wasindikizaji tu.Tena wanapiga kila mtu akiwaona na Polisi anaangalia tu.

Hope Polepole watakuja n.a. ile hadithi ya ushindi wa kushinda very shamefull
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,095
2,000
Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali, nimeona ITV wakituletea live za moja kwa moja kutoka Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli.

TBC nao pia wako live mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Nitaendelea

Paskali
Mengi ni mkazi wa Kinondoni makaburini hivyo uchaguzi huu unamuhusu sana!
 
She loves Me

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
816
1,000
Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali, nimeona ITV wakituletea live za moja kwa moja kutoka Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli.

TBC nao pia wako live mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Nitaendelea

Paskali
Umevurugwa hatare
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,651

Paskali nenda kapige kura. Hapo ndipo madikiteita wanapo win wote wakiamua kukaa ndani kama unayo suggest! ????
 
thetruthtobetold

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
511
1,000
Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali, nimeona ITV wakituletea live za moja kwa moja kutoka Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli.

TBC nao pia wako live mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Nitaendelea

Paskali

Hongera gani unawapa ITV Kaka Paschal, Jana HAKUNA KITU WAMEONYESHA KUHUSIANA NA KAMPENI ZA MWISHO Dar Es Salaam, ITV IS no Longer Super Brand, THIS IS SOOOOO SHAMEFUL...
 
MUSKINGUM

Senior Member
Oct 10, 2012
146
250
Kituo cha Luninga cha Taifa kutokua mubashara kweny Uchaguz. Unaendelea! Sijui tafsiri yake nn! Labda wanajipanga ngoja tuvumilie!

Wanabodi,

Japo mimi ni mpigakura wa Kinondoni, baada ya tukio la kifo cha yule mwanafunzi, mwili umeingia baridi kushiriki kupiga kura, hivyo sijatoka home.

Katika kufuatilia matangazo kupitia TV mbalimbali, nimeona ITV wakituletea live za moja kwa moja kutoka Siha na Kinondoni, ambako kote wame deploy timu mzito za waandishi wao nguli.

TBC nao pia wako live mjini Mbeya kwenye maandalizi ya kipindi cha Club Raha Leo Show.

Nitaendelea

Paskali
 
Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,986

Haha isee mayalla kweli wewe njaa kutoka mbezi beach mpk mpiga kura wa kinondoni?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom