Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,875
- 47,555
Najiandaaa kwenda Kanisani Leo kusomewa Sasa wangefanya hivi na Kwa katiba mpyaWithin 24 hours huu waraka wa TEC utasambaa nchi nzima kutokana na mfumo bora wa kupashana habari walioujenga kwa akili kubwa
Me naona wengi wao hawana hoja zaidi ya kutia hoja za huruma za kusingizia Dini.Ndo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.
Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
Sidhani kama Dini inahusika hapo mbona mimi nimewakubali Wakatoliki kwa hoja zao na kuwakataa wale Masheihk ubwabwa...nilichoangalia ni hoja sio nani au wa dini gani anasema..Me naona wengi wao hawana hoja zaidi ya kutia hoja za huruma za kusingizia Dini.
Mkuu mpare mmoja ameoza 😆😆😆 Sio wote. Sisi wapare hatumtambui huyu mloziHuku ni k
kufirisika hoja. Wapare mna kawaida ya kujiona ni watu special Sana na vigimbi vyenu
Acha upumbavu...Huku ni k
kufirisika hoja. Wapare mna kawaida ya kujiona ni watu special Sana na vigimbi vyenu
Alie kwambia elimu ya makaratasi ndio inatoa kiongozi mzuri ni nani??Tumekubali kuongozwa na akili ndogo.
Tumekubali kuwa chini ta elimu ya kuungaunga.
Watanganyika tumekubali kuwa chini ya watu wa hovyo.
Halafu hili libibi lisema hovyo linapenda kuharibu mada za wengine kwa ujuaji wake.
Mtu mzima anatafuta Bwana kwa nguvu Jf, huyo jirani wa upande ule umemshindwa?Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.
Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".
Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:
University Putra Malaysia (UPM)
University Kebangsaan Malaysia (UKM)
Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?
Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Sasa umeongea nini mama?Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.
Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".
Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:
University Putra Malaysia (UPM)
University Kebangsaan Malaysia (UKM)
Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?
Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Hachadhe.Sisi wapare hatumtambui huyu mlozi[emoji23]
Basi ya madrassa ndio imetuletea kiongozi mzuri mkuu.Alie kwambia elimu ya makaratasi ndio inatoa kiongozi mzuri ni nani??
Wachache watakuwa wamelamba hasali nawengine ufahamuMwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli
Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa
Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika
Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..
Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk
Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Mama umepanic meinSiku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.
Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".
Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:
University Putra Malaysia (UPM)
University Kebangsaan Malaysia (UKM)
Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?
Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
mshana nje ya mada kidogo..Hiki kiajuza hovyo sana kimekimbilia google na hata hiyo university anayosema haipo
Namnukuu.. Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Jina lililopo ni hili hapa.. Hiki Kimalay ambapo ukitafsiri kwa kimombo ni University of Malaysia ama Malaysia UniversityView attachment 2721919