Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

jitaidi kuwaza positive kama kuongea sisi ndiyo twapasa kuongea coz maisha yenu yanatutegemea sisi kiuchumi,kijamii na mfumo wa siasa piah
 
hivi kuna vijana wanatoka bara kwenda kutafuta maisha zanzibar?!!!! kanchi kenyewe kanategemea kila kitu misaada kwa magaidi!
wapo wengi sana wewe kama hujawaona tembelea usiku mkubwa mjini utawaona wamelala pembezoni mwa nyumba
 
mimi naelezea hisia zangu kutokana na hivi vitendo wanavotufanyia huku

Pole sana mkuu, ila kumbuka hizi nchi zimeshakuwa ni kitu kimoja takriban miaka 50 iliyopita na watu wanachanga culture tu. Ndo maana leo unaona Jiji kama la Dar es salaam ambapo watu wake hasa ni wazaramo, lakini makabila mengine pia yapo na wameenda huko na tabia zao na tamaduni zao, hivyo hivyo ukienda Mikoa kama ya Arusha na Mwanza tamaduni pia zimechanganyika. Kwa kweli ni vigumu sana kucontrol hii mambo.
 
Lack of money mkuu mnakosa hata elimu wapuuzi kama wewe namawazo ya shetani.It's not uncommon for someone with an anxiety disorder to also suffer from depression or vice versa.Pole mkuu

Mwenyewe una jiona una miakilii :-O
 
unajua watoto wa kizanzibari ni tofauti na huko bara, watoto wetu hawa kutwa wanaranda na vitu vya thamani, hebu fika wewe zanzibar uone tofauti ya mtu anapotembea akiwa bara na huku, ukiangalia apo kariakoo kila anaepita njia amekamata simu mkononi lakini huku hamna kabisa mpaka usiku mtu anatembea huku anachat. ila hii tabia ya kupokonywa saivi imezidi kukua
 
mbona nyie huku bara mmewekeza lakini watu huku hawalalamiki kabisa..mnamiliki majumba kariako na sehemu za biashara kubwa na sehemu zinginezo, lakini mtu akitoka bar kuja huku kununua kiwanja tu ni matatizo....lakini hata siku moja mtu wa bara ajawahi lalamika uwepo wenu huku.mleta mada kwa kukuweka sawa hata huku kuna watu toka huko kisiwani wana matatizo huku...je mkifukuzana nani ataumia
 

Na sisi tuwafukuze Wapemba na waunguja waliojaa katika miji na vijiji vyetu huku Tanganyika?
 
mm mzima mkuu naona unataka kuwafukuza wabara huko kisiwani? kuna nini tena mbona gafla tu balaaaa
mimi kuibiwa mzazi wangu nakereka balaa bora uniibiye mimi mwenyewe, wazazi wenyewe full presha si watasababisha wafe mapema bure
 
mimi kuibiwa mzazi wangu nakereka balaa bora uniibiye mimi mwenyewe, wazazi wenyewe full presha si watasababisha wafe mapema bure
Hahahah,jamani leo kazi kweli,kumbe na nyue humu JF mmo? Ndio maana Computer yangu inaganda
Kazi kweli,
 
Hahahah,jamani leo kazi kweli,kumbe na nyue humu JF mmo? Ndio maana Computer yangu inaganda
Kazi kweli,
nilikukamata kwenye watumbatu ukajua mie mtumbatu sio, hahahah apo umefeli mkuu ila nafuatilia tu haya mambo ya kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…