DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,763
- 2,916
simpi kura TAPELI, ni askofu asiyeamini nguvu za Mungu anyemtumikia kama askofu (self anointed Bishop)Utampa kura yako?
simpi kura TAPELI, ni askofu asiyeamini nguvu za Mungu anyemtumikia kama askofu (self anointed Bishop)Utampa kura yako?
Hakuna asiejuaHivi kuna asiyejua?
yaani uropokaji, porojo na story za pata potea kwa mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa ndio kukemea, right gentleman?🐒Nilikuwa kila siku ninajiuliza na kushangaa sana, kwamba, huko CCM hakuna kabisa mwenye busara na uzalendo, mwenye ujasiri wa kukemea haya?
Wote wachumia tumbo waoga? Wanaiacha kabisa nchi yetu iwe nchi ya utekaji na mauaji!?
Hatimae sasa, wameanza kujitokeza.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Gwajima.
Wewe ni nani hata uwakejeli hao wazee!hao wanafiki ni wapapi gentleman? 🐒
Safi sana hao watu.Wapo wachache! Kabla ya Gwajima, walikuwepo wazee wawili: JAJI WARIOBA na Mzee Butiku!
Gwajima anakuwa wa tatu!
Wewe unachojali ni uelekeo wa kisiasa tu, hujali hata kama watanzania watatekwa na kuuawa.yaani uropokaji, porojo na story za pata potea kwa mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa ndio kukemea, right gentleman?🐒
Ukiuliza kuwa 'Watanzania ni wajinga' unakosea mkuu!Wakenya wanatutukana kinomanoma yaan ukiingia YouTube tunatutukana kisengeee, yaan dah ndio maana Gwajiboi kasogea front maana sio kwa ile mitusi ya Wakenya, eti sisi elimu yetu ni upuuzi? Watanzania ni Wajinga?
WameshamjibuPamoja sana mwana💪🏿✌🏿📌🔨
Kama lilimshinda Makonda hawa waliobaki hawataweza hata kidogo!
Wataanzaje kwanza?
Hili picha tamu sana tunasubiri maana gwaji boy siyo mtu wa mchezo mchezoNimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!
Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la kuwatoa watu kwenye reli. Wameshafanya hivyo mara kadhaa kwa wazee wa Taifa: Jaji Joseph Sinde Waorioba na Mzee Butiku Nyerere!
Sasa safari hii kimeongea chuma kisichohofia mashambulizi. Ukilianzisha yeye analimaliza!
"Machawa" wanamfahamu Dr. Josephath Gwajima? Watathubutu kumchokonoa kwa kumjibu au watakubali yaishe?
Dah siamini kukutana na coment ya namna hii…ar u mad?Gentleman,
huyo kaisha lambwa na wanainchi wa kawe na CCM hatoboi kura za maoni huku moyoni mwake bado akiwa na hamu na anatamani kua mtumishi wa wana kawe. But ground imemkataa, sasa anajaribu kutafuta kiki, sababu ya kutokea CCM na public sympathy, kitu ambacho hakiwezi kabisa kumnusuru.
In fact Gwajima anaweza kua ni g56 na sio g55.
Kuhusu List na evidence uchwara hata mwenyekiti wa Chadema aliemaliza muda wake aliwahi kutoa, ilisaidia nini? Kulikuepo na List if shame ya akina mzee Lowasa ilisaidia nini? It's useless and nonsense.
kwani si hata wewe na mTanzania mwingine yeyote anaweza kuandaa list na evidence uchwara kadiri apendavyo kuvutia public attention na sympathy?
Gwajima kasense rejection ya wananchi wa kawe na kwamba hakuna dalili za mbeleko na sasa anaweweseka na kutapatapa asione la kufanya wala pakujificha 🐒
Huwa unawatongozaje wanawake!!?kweli tupu!!?gwajima ni TAPELI, we humjui
Ahahahah...mkuu niwie radhi mkuu, mi sio chawa. Nimeuliza tu, alisemaga angeleta na train. Halaf atawapeleka wakaz wa Kawe wakaish UkWe chawa helicopter inahusika vipi hapa?!🤔
Ahahahaahahah...Dah, sasa mkuu kwan **** guidelines za kuchangia? Mimi nimekumbuka tu helcopter yale ile basiJikite kwenye mada itasaidia kuonesha huna changamoto za afya akili
Lakin majibu yanaweza patikana eti??swali la kipuuzi kwenye mada mahsusi
Nashukuru kwa mchango positive brotherHelicopter sio nzuri kipindi cha uchaguzi, unafanya kazi ya watoa kafara kua rahisi sana.
Kama mtu anataka kuwafikia wananchi atumie gari.
Kwamba wakisema fyooo tu atachomoa betri🤣🤣🤣Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!
Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la kuwatoa watu kwenye reli. Wameshafanya hivyo mara kadhaa kwa wazee wa Taifa: Jaji Joseph Sinde Waorioba na Mzee Butiku Nyerere!
Sasa safari hii kimeongea chuma kisichohofia mashambulizi. Ukilianzisha yeye analimaliza!
"Machawa" wanamfahamu Dr. Josephath Gwajima? Watathubutu kumchokonoa kwa kumjibu au watakubali yaishe?
Na ukichomoa betri lazima kuwe na cheche.Kwamba wakisema fyooo tu atachomoa betri🤣🤣🤣
Sio Helicopter na ndege bado ipoHiv ile helcopter yake bado anayo?