Watamjibu na Askofu Gwajima?

Watamjibu na Askofu Gwajima?

daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.

Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
Gentleman,
GWAJIMA hayupo kwenye level za kulamba matapishi.

Gentleman pengine wewe umeamua kujitoa ufahamu Mbona GWAJIMA katoka na evidence 🧾 Tena list ndefuu TU ya watu mbali mbali walio potea na wengine kutekwa na kupigwa / vunjwa na kutekelezwa/ kutupwa maporini..

Gentleman pengine wewe mpaka yaje yakukute Yale YALIYO MTOA KANGA MANYOYA SHINGONI NDIPO UTAELEWA""

MBONA LOGIC NI NDOGO TU MBONA UNAKUA MPOFU..WAKATI MWINGINE TUACHE SIASA ZETU TUANGALIE MUSTAKABARI WA TAIFA LETU KWA MFANO AKITEKWA MKEO AU MTOTO, BABA, MAMA AMA YEYOTE ANAE KUHUSU NDIPO UTAPATA MAUMIVU.

NI BORA NDUGU YAKO AWE MAHABUSU AMA GEREZANI NA HATA HOSPITAL AMA UUPATE HATA MWILI WAKE MKA USTILI KULIKO KUPOTEZWA KWA KUTEKWA NA WASIOJULIKANA
 
Wakenya wanatutukana kinomanoma yaan ukiingia YouTube tunatutukana kisengeee, yaan dah ndio maana Gwajiboi kasogea front maana sio kwa ile mitusi ya Wakenya, eti sisi elimu yetu ni upuuzi? Watanzania ni Wajinga?
wakenya ni nyoko kwa matusi aisee, wametukana hasaa. Kama ni kunya wameharisha uharo mwingi sana halafu watanzania hawakuwajibu matusi yao kutokana na utekaji unaofanyika nchini
 
Of course 🤣 iliniuma Sana wametukana Sanaa..Wana SEMA BUNGE POWER WANAITIKA POWER.

Yanasema mtoto wa form two Kenya ni university material Tanzania

Eti hatujui kiingereza tunaviburi hatuna uchumi wa kuvimbiana nao

UNAMSIKIA JAMAA ANASEMA mh.speaker JAMAA linaanza kutoa matusi Mara oooh amekalia kiti Cha marehemu
Mara RAIS wetu ana HASIRA sababu yupo kwenye MENOPAUSE

MARA RAIS WETU HAWEZI KUKOJOA AMESIMAMA KWENYE BALCON

Yametukana Sanaa majamaa hata Kama tuna mapungufu ni Kuna haja kuwajibu washenzi Sana hao jamaa
 
Gentleman,
GWAJIMA hayupo kwenye level za kulamba matapishi.

Gentleman pengine wewe umeamua kujitoa ufahamu Mbona GWAJIMA katoka na evidence 🧾 Tena list ndefuu TU ya watu mbali mbali walio potea na wengine kutekwa na kupigwa / vunjwa na kutekelezwa/ kutupwa maporini..

Gentleman pengine wewe mpaka yaje yakukute Yale YALIYO MTOA KANGA MANYOYA SHINGONI NDIPO UTAELEWA""

MBONA LOGIC NI NDOGO TU MBONA UNAKUA MPOFU..WAKATI MWINGINE TUACHE SIASA ZETU TUANGALIE MUSTAKABARI WA TAIFA LETU KWA MFANO AKITEKWA MKEO AU MTOTO, BABA, MAMA AMA YEYOTE ANAE KUHUSU NDIPO UTAPATA MAUMIVU.

NI BORA NDUGU YAKO AWE MAHABUSU AMA GEREZANI NA HATA HOSPITAL AMA UUPATE HATA MWILI WAKE MKA USTILI KULIKO KUPOTEZWA KWA KUTEKWA NA WASIOJULIKANA
Gentleman,
huyo kaisha lambwa na wanainchi wa kawe na CCM hatoboi kura za maoni huku moyoni mwake bado akiwa na hamu na anatamani kua mtumishi wa wana kawe. But ground imemkataa, sasa anajaribu kutafuta kiki, sababu ya kutokea CCM na public sympathy, kitu ambacho hakiwezi kabisa kumnusuru.
In fact Gwajima anaweza kua ni g56 na sio g55.

Kuhusu List na evidence uchwara hata mwenyekiti wa Chadema aliemaliza muda wake aliwahi kutoa, ilisaidia nini? Kulikuepo na List if shame ya akina mzee Lowasa ilisaidia nini? It's useless and nonsense.

kwani si hata wewe na mTanzania mwingine yeyote anaweza kuandaa list na evidence uchwara kadiri apendavyo kuvutia public attention na sympathy?

Gwajima kasense rejection ya wananchi wa kawe na kwamba hakuna dalili za mbeleko na sasa anaweweseka na kutapatapa asione la kufanya wala pakujificha 🐒
 
Wewe tuambie anayeteka na kuua watanzania ni nani?.
Siku wakitekwa au kuuliwa ndugu zenu ndipo akili zitawakaa shenzi nyinyi.
ukimendea mkwe wa mtu ukifumaniwa na kumalizwa na mwenye mke huna haja ya kumbwelambwela humu jukwaani,

hata hivyo,
huenda heche na walinzi wake katili sana ambao walijaribu kutaka kudhulumu maisha na uhai wa Sigrada Mligo pale njombe, wanaweza kua na taarifa kamili juu ya hao wanachadema wengine waliwafanya nini na wako wap 🐒
 
Gentleman,
huyo kaisha lambwa na wanainchi wa kawe na CCM hatoboi kura za maoni huku moyoni mwake bado akiwa na hamu na anatamani kua mtumishi wa wana kawe. But ground imemkataa, sasa anajaribu kutafuta kiki, sababu ya kutokea CCM na public sympathy, kitu ambacho hakiwezi kabisa kumnusuru.
In fact Gwajima anaweza kua ni g56 na sio g55.

Kuhusu List na evidence uchwara hata mwenyekiti wa Chadema aliemaliza muda wake aliwahi kutoa, ilisaidia nini? Kulikuepo na List if shame ya akina mzee Lowasa ilisaidia nini? It's useless and nonsense.

kwani si hata wewe na mTanzania mwingine yeyote anaweza kuandaa list na evidence kadiri apendavyo kuvutia public attention na sympathy.

Gwajima kasense rejection ya wananchi wa kawe na kwamba hakuna dalili za mbeleko na sasa anaweweseka na kutapatapa asione la kufanya wala pakujificha 🐒
Mbunge msukuma, Babu taletale na wengine Wengi wa aina hiyo.

GWAJIMA ni Bora Mara 100 kuwa nae bungeni kuliko wabunge kama taletale na msukuma

Naomba kuwasilisha,

Alafu gentleman 😉 unanishangaza Sana lecturer wangu iweje uamishe magoli...jikite kwenye kujadili hoja za GWAJIMA punguza SPINNING NDUGU YANGU🤣
 
daima mimi ni mtu wa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu.
unaweza kumrate Gwajima kwa kiwango chochote ukilinganisha na mwingine yeyote,

but zaidi ya kuropoka,
where are Gwajima development records in his kawe constituency?

hapo ndipo haswa kunamvuruga,
hana maelezo, hana ufafanuzi wala hana sababu za kuomba kuchaguliwa tena thus why anajaribu kujificha kwenye national politics while in constituent level ameshindwa na kukwama kabisa 🐒
 
A better end.
Angalia wanaomsifia Gwajima na wanaomponda kwenye hili halafu ujitafakari.
Gentleman,
kutapatapa kwenye national politics baada ya kushindwa kazi ya maendeleo kwenye constituent level ni kitu ya fedheha sana aise dah 🐒
 
daima mimi ni mtu wa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu.
unaweza kumrate Gwajima kwa kiwango chochote ukilinganisha na mwingine yeyote,

but zaidi ya kuropoka,
where are Gwajima development records in his kawe constituency?

hapo ndipo haswa kunamvuruga,
hana maelezo, hana ufafanuzi wala hana sababu za kuomba kuchaguliwa tena thus why anajaribu kujificha kwenye national politics while in constituent level ameshindwa na kukwama kabisa 🐒
Gentleman, naona upo kwenye ubora wako.

Umenikumbusha NOVEL ya A MAN OF THE PEOPLE.
 
daima mimi ni bora mbele ya wanainchi japo sistahili,

gwajima anatafuta pa kutokea tu hana jipya wala hana jipya kwenye porojo na story za hizo drama za utekaji.
hivi amesema wananchi wa kawe laki ngapi wametekwa? Ili labda tuone namna anavyowatetea wananchi wa kawe kadiri walivyomchagua.

kumbwelambwela hakutamsaidia 🐒
 
Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!

Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la kuwatoa watu kwenye reli. Wameshafanya hivyo mara kadhaa kwa wazee wa Taifa: Jaji Joseph Sinde Waorioba na Mzee Butiku Nyerere!

Sasa safari hii kimeongea chuma kisichohofia mashambulizi. Ukilianzisha yeye analimaliza!

"Machawa" wanamfahamu Dr. Josephath Gwajima? Watathubutu kumchokonoa kwa kumjibu au watakubali yaishe?
Kwani Kila mtu lazima ajibiwe?!!!! Wanaweza wakamkaushia tu, watu Wana mambo mengi na muhimu kuliko hilo ya kufanya kwa Sasa.
 
Wakenya wanatutukana kinomanoma yaan ukiingia YouTube tunatutukana kisengeee, yaan dah ndio maana Gwajiboi kasogea front maana sio kwa ile mitusi ya Wakenya, eti sisi elimu yetu ni upuuzi? Watanzania ni Wajinga?
Bora ata hilo la Elimu,wajinga na viwete kuomba omba bora hayo. Ila kuna maneno mengine makali mno wanamtukana raisi, kwa mtu mwenye busara hawezi kunyamaza kwakweli.

Mimi mpaka nimepiga marufuku mtoto wangu nisimkute yutube akiwa na cm yangu maana hachalewi kuuliza hii ni neno gani!.

Wale vijana hawana adabu kabisa. Kiwango cha kustaarabika pamoja na mengi lakini kinapimwa na maneno yako pia.
 
daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.

Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
We mwenyewe unashinda humu, huko field ww ni nani maana hatukujui.
 
ukimendea mkwe wa mtu ukifumaniwa na kumalizwa na mwenye mke huna haja ya kumbwelambwela humu jukwaani,

hata hivyo,
huenda heche na walinzi wake katili sana ambao walijaribu kutaka kudhulumu maisha na uhai wa Sigrada Mligo pale njombe, wanaweza kua na taarifa kamili juu ya hao wanachadema wengine waliwafanya nini na wako wap 🐒
Utetezi wa kistone age huu. Hakuna uovu wa kudumu.
 
Back
Top Bottom