Watamjibu na Askofu Gwajima?

Watamjibu na Askofu Gwajima?

daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.

Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
Mkuu uliishia la ngapi? Samahani lakini🙏
 
DAKIKA 90's zitaamua na for sure 😃 😊 hakuna alie wai ku battle na ASKOFU GWAJIMA na akatoka salama reference zipo nyingi.

Ni Jambo la muda...Time is the best teacher.

#YANGUMACHO
Ukiona ametoka hadharani, ujue ameshausoma mchezo wote mwanzo mpaka mwisho. Ana majibu yote yanayohitajika!
 
daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.

Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
Nilikuwa kila siku ninajiuliza na kushangaa sana, kwamba, huko CCM hakuna kabisa mwenye busara na uzalendo, mwenye ujasiri wa kukemea haya?

Wote wachumia tumbo waoga? Wanaiacha kabisa nchi yetu iwe nchi ya utekaji na mauaji!?

Hatimae sasa, wameanza kujitokeza.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Gwajima.
 
Gentleman,
huyo kaisha lambwa na wanainchi wa kawe na CCM hatoboi kura za maoni huku moyoni mwake bado akiwa na hamu na anatamani kua mtumishi wa wana kawe. But ground imemkataa, sasa anajaribu kutafuta kiki, sababu ya kutokea CCM na public sympathy, kitu ambacho hakiwezi kabisa kumnusuru.
In fact Gwajima anaweza kua ni g56 na sio g55.

Kuhusu List na evidence uchwara hata mwenyekiti wa Chadema aliemaliza muda wake aliwahi kutoa, ilisaidia nini? Kulikuepo na List if shame ya akina mzee Lowasa ilisaidia nini? It's useless and nonsense.

kwani si hata wewe na mTanzania mwingine yeyote anaweza kuandaa list na evidence uchwara kadiri apendavyo kuvutia public attention na sympathy?

Gwajima kasense rejection ya wananchi wa kawe na kwamba hakuna dalili za mbeleko na sasa anaweweseka na kutapatapa asione la kufanya wala pakujificha 🐒
Gwajima anafaa kuwa Rais na siyo mwakilishi wa watu wachache kama Kawe!

Hujaona jinsi Watanzania walivyomkubali?
 
Nilikuwa kila siku ninajiuliza na kushangaa sana, kwamba, huko CCM hakuna kabisa mwenye busara na uzalendo, mwenye ujasiri wa kukemea haya?

Wote wachumia tumbo waoga? Wanaiacha kabisa nchi yetu iwe nchi ya utekaji na mauaji!?

Hatimae sasa, wameanza kujitokeza.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki Gwajima.
Wapo wachache! Kabla ya Gwajima, walikuwepo wazee wawili: JAJI WARIOBA na Mzee Butiku!

Gwajima anakuwa wa tatu!
 
relax gentleman,
ukweli ni kwamba hayo ni mapigo ya mwisho ya kupotea kwa Gwajima nani ya siasa za CCM na siasa Tanazania kwa ujumla baada ya kuthibitisha kwamba wananchi hawamuelewi na hakuna mbeleko this time around 🐒
Ulimbishia mzee Butiku!
Ukambishia na Jaji Warioba!
Hata Gwajima hujamwelewa?
Unahitaji msaada mkubwa kuliko unavyofikiri!!!
 
Utawala huu utaanguka vibaya sana.Utatoa kishindo kikuu kitakacho sikika hata na walio mbali, japo kuna watu watalia ila kuna kundi kubwa litafurahi ikiwemo wakenya.
Mungu yukaribu kujitwalia utukufu kupitia viongozi hawa.
Yericko lazima ianguke.
Babeli lazima ianguke.
Farao lazima apigwe.
Uzia lazima afe ili tumuone Bwana.

Amen.
 
Tatizo askofu kaongea kama "president material"kabisa!!

Hali inatisha sana mjue!!
 
daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.

Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
Gwajima ameshaona hatapewa tena hiyo nafasi ya Ubunge, so ameamua kumwaga mboga, mfumo utamshugulikia ki sayansi muda ukifika
 
gwajima ni TAPELI, we humjui
Kama tapeli anajua kukosha nyosho za Watanganyika kiasi hicho, basi tulichelewa sana kupata matapeli! Tunahitaji matapeli wengine kama kumi wa aina hiyo kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanganyika!!!
 
Kama tapeli anajua kukosha nyosho za Watanganyika kiasi hicho, basi tulichelewa sana kupata matapeli! Tunahitaji matapeli wengine kama kumi wa aina hiyo kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanganyika!!!
mshawishi agombee kiti cha uraisi, mtumishi wa Mungu wenu hawezi kukosa
 
Back
Top Bottom