The choosen one
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 234
- 286
B
Bashite na Mond watakuwa mashahidi wazuri sana 😂 wa hii kauli yako. "Almasi(Mond )itageuka kuwa maji taka"& "nimekufuta kwenye ulimwengu wa siasa na uongozi(Bashite)" mwisho wa kunukuuDAKIKA 90's zitaamua na for sure 😃 😊 hakuna alie wai ku battle na ASKOFU GWAJIMA na akatoka salama reference zipo nyingi.
Ni Jambo la muda...Time is the best teacher.
#YANGUMACHO