ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #121
hapa.kuna nini jioni ya leo
itabidi nikufundishe mpaka uweze ili nawe ujitegemee kama wenzako kwani wao waliwezaje nawe ushindweje? unaweza yote katika yeye akutiaye nguvu yaani Mungu soma efeso 3:14
hapa.kuna nini jioni ya leo
duh! yaani umenifanya nishike bible aloo.. basi ndo nikae pembeni yako manake mi nachanganya sauti, mara ya tano, mara ya nne.
unajua mwalimu bora na mbunifu ni yule anayetambua kipaji cha mwimbaji na mwanafunzi wake hivyo kwa mara ya kwanza nilvyowaona nikawajaribisha mlinifanya moyo wangu uwapende na kuona kuwa kumbe wako wanafunzi wanaojituma katika nafasi zao na ndo mana nimewaweka muwe leader kwa wengine
asante sana kwa kunipa u leader
hongera pia kwa kutambua vipaji vya
wanafunzi wako,hakika utafrah kua na sisi!!
anaunga mkono ndio
Passion Lady alinishika leo...alikuwa ananipa orientation ya mwanzo mwanzo ili kesho nisiharibu, ndo maana hata yeye hukumuona leo!sasa mm ndo mwalimu wenu wa vocal itakuwaje tena ukae karibu yangu oky nitakufundisha mpaka utakaa kwenye sauti yako vyema bila hata kuhama key wala kushuka key na utakuwa katika range ya vocal yako, usikonde leo utakuja kwenye mazoezi ya vitendo?
Naomba usiwaimbie wengine Heaven on earth, niimbie mimi na mimi peke yangu. Raha unayonipa sitaki wengine waishee. Nshakutungia mashairi ya wimbo mpya...
Passion Lady alinishika leo...alikuwa ananipa orientation ya mwanzo mwanzo ili kesho nisiharibu, ndo maana hata yeye hukumuona leo!
Hahahahaha.... Thats why i love you my Heaven on earth.............. will you marry me?leo si utakuja mazoezi njoo na hayo mashairi tu........
tukipata chansi kidogo tu tunamtoroka choir master wetu ladyfurahia
mwenzio nilikua nakula
mikeki ya birthday!!
Yani we mbaya hata sikupendi tena, umekula keki alokata nani? Happy birthday Passion Lady! Furahia siku yako, leo nakuja kumpakata mtoto!
Ded: Wenye wivu wajinyonge by Nani vile nimemsahau kidogo mtamalizia.
hivi unatambua kuwa sheria na kanuni ziliwekwa ili zivunjwe
ndio malengo uliyojiwekea eeeee?
nitakusemea kwa mama naniliuuuuu wewe!!
mbona chief judge madam rita yeye ni mratibu, chief na ni mwongozaji na hata wanaotoa filamu nao ni hivyohivyo nami nimefuata nyuzi zao au unasemaje happo