Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
kweli wewe unafaa kuwa vocal leader ila sauti yako ina mikwaruzo kwanini lakini? hebu ukifika home kula asali mbichi ya nyuki wadogo na changanya na chumvi kiasi italainika ili kesho jemosi uje ukiwa fiti tena kwa zoezi
kabanga unaitwa na ladyfurahia fastaah, bora upige kimya, mwnyewe akijua nimemuanika hapa itakuwa balaa, wakati nae atakuja kutumbuiza...
Hee lini tena ndugu yangu nitake radhi mie hujui kuwa mm najulikana ulimwengu mzima sasa lini ulinifundisha na wakati Mentor ndiye mhusika mkuu mwana nitake radhi mapema kabla ya zoezi kuanza kesho plzzzzzzzzzzzzzz omba msamaha haraka hapa kwenye kadamnasi kwani umeporomosha mwenyewe hiyo lugha ya ibilisi hapa
uniwekee na mayai kama 3 hivi nasikia yanasaidia kulainisha sauti
Muungwana ni vitendo Mpwa, haya nakutaka radhi mbele ya kadamnasi japo ulisahau tu tena nakupiga na verse kabisaaaa
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
nakwenda, nimekwama hapa tazara foleni kama asubuhi vile....
nakwenda, nimekwama hapa tazara foleni kama asubuhi vile....
heee! jamani pole kwa hayo mbona sasa hukuja kuniambia wala kunipigia simu ili nimkanye hiyo tabia yake ambayo imetuharibia upako siku ile? siku ingine akirudia lete mashtaka kwangu nitampa onyo kali mbele ya baba yake watu8
twende kwenye mazoezi tusije kuishia kwenye hii bustani...
heee! jamani pole kwa hayo mbona sasa hukuja kuniambia wala kunipigia simu ili nimkanye hiyo tabia yake ambayo imetuharibia upako siku ile? siku ingine akirudia lete mashtaka kwangu nitampa onyo kali mbele ya baba yake watu8
mhhh kweli aliharibu upako ila nilimpenda bure kwa kuwa alinipa zawadi nzuri kupita siku zote sweetlady kamu siz wei uje utubu
kama unaweza ubambie suruali hata 4 maana nasikia kuna mikwaju ya kufa mtu huko
atakuja usijali kesho utakuwepo kwenye zoezi la vitendo vya viungo kwani nimemwita mwalimu toka pale THT aje kutupa tizi kidogo tuwe fiti kwenye viungo vyetu tena naomba mvae nguo za michezo acha nimwite amu akaazinunue ili kila mmoja awe na ya kwake asije vaa ya mwenzake
tena huje haraka kabla sijawa mchinamchina hapa kwanini umerusha picha isiyo na utukufu hapa wala ushuhuda hapa iondoe haraka kabla sijawa wa kichina sehemu zote na adhabu yako utakimbia ukumbi wa mazoezi mara 7 na kusema kwa nguvu wewe mkaidi
nisamehee bure mimi naogopa viboko, ila ni taahadhari imetolewa maana waombaji wengi wanachelewa au hawaji na huo ndio ushuhuda... wakanye
mi niliimba mpaka sauti
ikanikauka,hapa nilipo
nina kazi ya kunywa mayai mabichi tu!!