Watambue Waimbaji wa Chit Chat


Vijana wapo huku wanaacha jukwaa la siasa kule linapotoshwa na wakina HAMY-D, Njano5, assadsyria3, chama,
Mahesabu, Maundumula,Tume ya Katiba,[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=2872"]Bubu Msemaovyo, Mambo Shauri, Ukwaju,Tume ya Katiba[/URL],TandaleOne babayako.....tokeni huku ninyi wakinaKipaji Halisi,Bujibuji,ladyfurahia, Lady doctor,sweetlady na wengineo.Msitokomee huku tu....karibuni kwenye siasa pia
 
HABARI

Lile shindano la kumtafuta mwimbaji bora, mtunzi na wimbo bora
wa chitchat hapa ambalo lilikwenda kwa juma la wiki 2 na nusu sasa.

Natangaza rasmi kuwa limefungwa kutokana na sababu za kiufundi na
za msingi sana zilizo nje ya uwezo wetu kwani tulitegemea tulifanye
pale LEO TUPO HAPA PUB na tutafute mshindi atakayepokea award hiyo

Hivyo wasomaji na wachangiaji wetu na wale ambao waliwekwa kwenye
kinyang'anyiro hicho cha kumsaka mshindi bora wasijisikie vibaya sana
tutalipeleka miezi ya mbele yaani August - October 2013 kwa kile
tunachosema kuwa tumekosa barunzi machine, ile ya kuingizia instruments za
music ili waimbaji waimbe kuipitia hizo beat. Hivyo lile shindano halitafanyika
tarehe 06/07/2013 bali tutafanya kuanzia mwezi wa nane na kuendelea
pindi tukipata mashine hiyo.

Samahani sana kwa usumbufu uliojitokeza waungwana wangu, na wapenzi wangu
Mara upatapo notice hii mwambie na rafikiyo wa cc mwenzako.

Aksante kwa kunielewa.

NAWAKILISHA

rgds



MRATIBU WA SHINDANO
LF.


CC: Arushaone, Mentor, Nicas Mtei, Mtambuzi, Paloma, Filipo, Mamndenyi, cacico, Kipaji Halisi, Bujibuji, Bishanga, The secretary, amu, Asprin, Slave, stevoh, figganigga, Lady doctor, Passion Lady, charminglady, gfsonwin, sweetlady, FirstLady, watu8, Jiwe Linaloishi, Mwita Maranya, Erickb52, Mr. Rocky, snowhite, jouneGwalu na wengineo wa cc.
 
Last edited by a moderator:
Siyo vibaya
Ngoja tuendelee kujiweka sawa.

 
hivi namimi nilikuwepo ktk kinyang'anyi.......lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…