Watambue Waimbaji wa Chit Chat

tukitoka dar tunaenda mikoani nako kutafuta mshindi wa huko best hivyo kaa mkao wa kula na kushinda, tutakuja arusha kisha tanga
sitokuwa Dar mpendwa, kwani hilo shindano linaishia Dar tu? Siwasogee hata Arusha jamani mi ninyakue hayo matuzo
 
basi tutakuja hukohuko mkaoni tutapanga nani awe kiongozi kwenye hili shindano kwani tunataka liende hata mikoa mbalimbali ili wanajf cc wote washindanishwe kama bongo star search wanavyofanya? waonaje hilo best?
Ndio mpenz
 
Poa sana mamii
Naisubiri.
 
mkuu shaka ondoa wasiwasi wako ndio mwanzo wa maradhi yako... na bara bara imara ni ile iliyopita gari nyingi, tulikuwa tunapeana mawaidha ya mashindano tu hamna cha ziada hata ukimuuliza Heaven on earth
Imebidi niipe red mkuu..hahahaaa! Kwa hiyo umeimarisha ubora wa Heaven on earth?
 
Last edited by a moderator:
View attachment 99581Mwongo mkuu huyu ninani??
 
Aisee..... ngoja nijipange.... nikirudi hapa ni mistari mwanzo mwisho
 
besti utakuwa umefanya jambolamaana sana weka mistari yakohapa ili majaji wafanye kaizi pembuzi na kwa yakinifu halafu uwepo siku tutakapowapa zawadi washindi 3 nawe uwe mmojawapo kama utakuwa serious kwanijambo hili ni serious kweli na tunawatafuta waimbaji sasa jitokekezeni kwa wingi bestito
Aisee..... ngoja nijipange.... nikirudi hapa ni mistari mwanzo mwisho
 
hahahahah we umekwenda kwenye vijiwe vya wahuni.. wangekutatamua.... bahati yako hukufika ile chemba ya akina Idd lion ya Saigon.... lazima wangekuteka, chief usichukulie ni chief cooker? google kwanza upate jibu la uhakika

aaa wapi...........my boifrend is about to arrive. nnimewekewa sekyuriti mbaya! mpaka najiogopa maana nikijigusa vibaya naweza jaza timu ya makomando!!!
nimegoogle weee lakini mbado.....narudi tena chemba kutafuta maujuzi!
 
aah wapi sekyuriti gani wakati wajanja siku hizi hata chooni mnamaliza... we jiandae tu kuimba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…