Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,077
Habari zenu bandugu
Nafurahi kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vyema
nashughuli zenu,
Leo nimeonelea niwaletee waimbaji watakao kuwepo katika Tamasha
la Usiku wa Furaha wa KiCHITCHAT utakaofanyika pale LEO TENA PUB
Tarehe 7/7/2013 na wakataofanya vizuri sana watapewa ZAWADI
Wafuatao ndo wako kwenye mazoezi ya vitendo ili kuipambisha siku hiyo special
View attachment 98932 hawa walijipanga ili kupiga picha ya pamoja kushoto Elli
anayefuata kushoto ni Lady, Filipo, Mwali, KakaKiiza na Mentor
Weingine ni hawa ni ndugu wa familia 1 ya watu8 wao walijituma zaidi kivitendo
na wako kikazi zaidi angalia hapo wakikamua yaani ladyfurahia, charminglady, Lady doctor, Lady Unbreakable, sweetylady, na Passion Lady
Wengine ni hawa hapa wakifanya vitu kabla ya shindano hilo kufika kilele chake
View attachment 98934 hawa ni gfsonwin na sweetlady
mwangalieni Paloma hapa naye yumo ndani ya practice stage
na huyu Smile alikuwa anasinzia kwa uchovu wa mazoezi kwani
niliwapa tizi ile baabkubwa si unajua tena mm ndo mwalimu wao
nataka kitu kitokee kizuri ona hapa
View attachment 98936 acha kusinzia nenda kwenye mazoezi
Mwita Maranya naye kwa vituko acha tu
anamfundisha mtu namna ya kupiga piano hapo
ndani ya mazoezi ladyf nikikamua
jamani hii picha imegoma jamani nifanyeje itoke hapa
Picha zingine angalieni hapo chini zimegoma kuwekeka my friend
wa mwisho ni Kipaji Halisi akiwa kivyake vyake
na weingine hawakujitokeza kwenye mazoezi siku hiyo nao ni Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Nicas Mtei (huyu sijui kama yuko kweli), Ruttashobolwa, stevoh, Donn (njoo upige gitaa), Mr Rocky, Erickb52 ( keyboard inatukodolea macho kwanini huji kwenye zoezi), The Boss, Chimbuvu ( tunakuitaji sauti ya 4), Heaven on earth, AshaDii (sauti ya 1 mama), Bujibuji (sauti ya 3 uko wapi), Zion Daughter (sasa huyu kaadimika kweli sauti 2 njoo), Asprini ( wewe sauti ya zege yakufaa zaidi), Bakulutu, Excellent (sauti ya 3 njoo), ruttashobanyuma (uko wapi), Arushaone (usikimbie tizi wewe), na weingine sikupata majina yao
naomba mniorodheshee majina yao hapa wawepo kwenye orodha ya
waimbaji wa ChitChat. KARIBUNI TUBORESHE MASS PRAISE YETU
mi ntakuja kuimba sauti za mbinguni ninazoimbaga na wazee wanne watupao taji zao
usijali we andaa mavocal
ya kufa mtu,hata bongo fleva tutaimba!!
jamani marafiki wote mlioko darwing muwepo siku hiyo ya tarehe 06/07/2013 jioni pale leo tupo hapa kwani kutakuwa na shindano la kumchagua mwimbaji bora na atapewa award certificate na zawadi ya ushindi kwa washindi watatu na vilevile tutamtafuta mtunzi bora wa wimbo maalum wa unaohusu CC Jforum .
Vigezo vinavyotakiwa kwenye wimbo huo lazima:
a) kuwe na mpangilio wa vina, silabi na ghani kama ni shairi au ngonjera.
b) kuwe na mtiririko au mpangilio wa maneno yenye mvuto.
c) kuwe na maneno yanayomtukuza Mungu na sio majanga.
d) kuwe na ulinganifu wa matamshi, au silabi, na na beti 2 na kiitikio (chorus) 1
e) kama ni hiphop basi ilinganie vyema kimaneno na sio kujiimbia tu ilimradi.
wafuatayo ndio watakuwa kwenye kinyang'anyiro na mchujo wa kumpata mwimbaji aliyebora wa cc 2013 Bujibuji, watu8, Passion Lady, sweetlady, Lady doctor, Mwita Maranya, amu, Madame B, madame x, Mamndenyi, laizer, Donn, MKALIwakitaa, figganigga, steven Jr. Masatu, stevoh, Erickb52, Filipo, KakaKiiza, gfsonwin, Asprin (atakuwa chief), Paloma (atakuwa chief), Lady Unbreakable, charminglady Catherine Danzi na weingineo waishio dar kama wako na wale wanaotoka mikoani watakuwa na shindano hukohuko upcountry kwao hivyo msikose hiyo tarehe 06 july jamani waambie na wengine tangazo hili
msumbufu sana huyo Eli79
bila kua na nyenzo ya kumdhibiti
ni shida!!
Yaani mi nimetoka kidogo tu huyu Jiwe Linaloishi kakuita, tena mlango wa uani? damn! mbona ticha ananifanyia hivyo?haya ngoja nianze kutunga mashairi
sauti yangu najijua am the best at it.....
ndio maana hata Jiwe Linaloishi aliniita kule mlango wa uwani
Wasumbufu ndo wanaoelewa haraka! hata ukija na nyundo, mimi niko na wewe tu.
pacha si unajua kijana
ni msumbufu?ndio sababu
nimesema nitakaa na nyundo!!
Unajua kufundisha besi lakini?we inabidi uimbe sauti ya 4 itakufaa zaid
Wasumbufu ndo wanaoelewa haraka! hata ukija na nyundo, mimi niko na wewe tu.
Unajua kufundisha besi lakini?
hahahaa! hao wasumbufu ndo wanaelewa haraka, ndo maana Heaven on earth amechagua kukaa na mimi.
aiseee.......... Haki ya nani lazima hili shindano nishinde my cousin.
Nimepita....
hahahaaa......ngoja nimletee na misumari ili akugongelee vizuri
kama uko dar utakuwepo bestito, nitafurahi sana ukiweppo kwani shindano hili bila nyie ndo hivyo tena litaendaana na get together party hivyo jiandaeni kisawasawa si mnajua get together zilivyo eeee, mm sitakuwa jaji majaji ndo wataamua na kumpata mshindi
andaeni wimbo ufanyiwe kazi hapa na mchujo utokee hapa kwani kuakuwa na wimbo bora, mtunzi bora na mwimbaji atakayetawala jukwaa vyema bora andika wimbo wa kichitchat hapa
​hahahaaa!!haya swahiba usijali!!we utapiga lalimba mi kinanda vikikolea mavocal yatatoka yenyewe tu....:yell:
hahahaa! hao wasumbufu ndo wanaelewa haraka, ndo maana Heaven on earth amechagua kukaa na mimi.