Watambue madalali wa shetani

Yupi kwako ni nabii wakweli?
 
Hayo uloeleza hapa sio maswali ni majibu pigia mstri
 
Umemsahau Malisa na mkewe, na yule Mchungaji mbunge Viti Maalumu,Kakobe, na yuko mmoja hivi anakanisa pale tabata chama MZEE fulani hivi ana mvimvi. Yote haya majizi tu
Wote hao hawaendi mbinguni wqnachumia matumbo yao na familia zao uzuri wao wqnajua wqnayemtumikia ila sisi ndo tunafanya mkumbo kuwafuata laiti kama wangefunguka wakatuambia yule wqnayemtumikia tungekimbia mbio
 
Msimsahau peter nyaga wa rgc miracle tabata katoka kwao kenya kaona tz ndio kuna wajingawajinga wa kumwaga

Afadhali ya Yule Mama, watoto wa kitanzania waNafaidi Matunda yake kupitia elimu japo ni watoto wa matajiri tu
Huwezi kumuacha huyu jamaa yumo sema tulimsahau tu
 
Acha awatetee hayajamtokea akijua ukweli atakuwa huru
 
Na ww ndo wale wale ulishamezeshwa uongo wao na umekalilishwa upuuzi wao ni binadam gani mwenye uwezo wa kumpa Mungu pesa au mali au vitu sadaka pekee ya mwisho ni Yesu kristo aliekufa na kufufuka hayo mengine ni wizi kama wizi mwingine tu kama wakutumia siraha nk... Tunaibiwa na wasioenda mbinguni.
 
Hapo safina radio napingana na wewe, kama ni msikilizaji mzuri wa safina utajua sadaka yao nyingi inaenda kujengea minara na sio kunufaisha wahudumu au mmiliki wake
Sasa inapotumika kujenga minara unakataaje haimunufaishi mumiliki wa hio radio
 
Mshana hili sio jibu ni povu[emoji1] [emoji1]
Ukilitafakari utanielewa nimeongea nini.. Hakuna watu ambao wako kwenye spotlight ya dhambi kama walokole kwakuwa wanajaribu kuachana na ibilisi
 
Yesu Kristo ni sadaka ya malimbuko kutoka Mungu kwajili yetu, wewe sadaka yako kwa Muumba wako ni ipi?
 
Mshana kwasasahivi Safina Radio ya Arusha kwakweli wanachofanya ni Biashara tu.

Wanauza mpaka maji na fruto ambazo wamepiga brand kwenye vichupa.

Mungu ni Roho...wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika ROHO na KWELI, ila wao wanaweka Imani za watu katika vitu kama Maji n.k badala ya katika Kristo.

Ikiwa basi ni hivyo, JE kwanini wasiwafundishe watu namna ya kuombea hayo maji kisha wakaombee maji yao nyumbani na kutumia kiimani?


Nimefuatilia comments zako uko vizuri na unajitambua Bujoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…